Gilbert A Massawe
JF-Expert Member
- May 14, 2015
- 6,359
- 5,329
Nadhani ajitokeze Rupia.Itapendeza ianzishwe CHADEMA asilia. Kuhusu mtego tayari umeshawanasa. Kinachoendelea kwa sasa ni matusi ya kila aina kwa Lema huku wachache wakiwemo wanaCCM wakimpongeza. Cha muhimu hapa ajitokeze kigogo mmoja au zaidi wa kamati kuu na kumshambulia Lema ili mambo yakorogeke zaidi. Mimi ninafurahishwa sana na huu mparangano wao.
chadema inaenda kugawanywa kakaMkuu, kuhusu Chadema kufa sahau, JPM na ushawishi wake wote alishindwa. Ndio utekaji ukaanzia hapo, cuf ilikuwa na ushawishi mkubwa kule zanzibar.
Sahauchadema inaenda kugawanywa kaka
sitaki hilo ila kimfumo chadema wamegawanyika.
bado majengo tu
Hivi hilo Jengo sio jitihada za Mbowe ?chadema inaenda kugawanywa kaka
sitaki hilo ila kimfumo chadema wamegawanyika.
bado majengo tu
Imekuuma sana kuona Lema ameongea vizuri. Ulidhani anaenda kuharibu CHADEMA.MaCCM yameaibika kweliMtanange unaendelea, Nani ataacha Ndala?
Je Lema atapoteza ushawishi wake ndani ya Kamati kuu? Ni Hapana anaungwa mkono ma wengi kuliko heche
Je Yule anaeuza habari kwa Yule Dada?
Je yule Dada anachezewa akili na Vijana wa bawa?
Haha, Chadema wasipotegua huu mtego Rasmi inaenda kwa Cuf.
Utasikia Chadema ina ofisi mbili.
Siipendi Chadema ila nataka bado chadema iwepo tupate watu wa kuwashulikia
Hahaha hahaa.
We Massawe gani unakuwa shoga shogachadema inaenda kugawanywa kaka
sitaki hilo ila kimfumo chadema wamegawanyika.
bado majengo tu
Kwanza nani kampangia kuhusu yeye kuongea na Mbowe? Anajistukia sana Mfanyakazi wa Dalali.Lema kasasema akitaka “Kuongea na Mbowe haiitaji ruhusa ya Mpumbavu/Mssenge yoyote ndani ya CHADEMA” mwisho wa kunukuu.
....Yuko wapi Zitto Zuberi Kabwe???.Nadhani ajitokeze Rupia.
wagawane ofisi chap
M.A.P Thadei Ole Mushi ,hakika SUMU uliyolishwa irudi iende ikamfanye vibaya aliyesuka mpango na mtekelezaji.Wee vs Thadei Ole Mushi bila cha urusi( SUMU ) ungeacha na chupi kabisa sio ndala tu.
wewe lema tuliaM.A.P Thadei Ole Mushi ,hakika SUMU uliyolishwa irudi iende ikamfanye vibaya aliyesuka mpango na mtekelezaji.
Mtanange unaendelea, Nani ataacha Ndala?
Je Lema atapoteza ushawishi wake ndani ya Kamati kuu? Ni Hapana anaungwa mkono ma wengi kuliko heche
Je Yule anaeuza habari kwa Yule Dada?
Je yule Dada anachezewa akili na Vijana wa bawa?
Haha, Chadema wasipotegua huu mtego Rasmi inaenda kwa Cuf.
Utasikia Chadema ina ofisi mbili.
Siipendi Chadema ila nataka bado chadema iwepo tupate watu wa kuwashulikia
Hahaha hahaa.
Uongozi wa chadema uko very strong ndio maana Lema ametoka pangoni kajikuta anaongea vitu ambavyo wenye akili walimtilia wasiwasi. Chadema hawataki maridhiano ya geresha, wanataka haki ndio itoe maridhiano. Sasa Lema anazungukazunguka kwa maccm kwanini, aache hizo anatidinganya mambo!Mtanange unaendelea, Nani ataacha Ndala?
Je Lema atapoteza ushawishi wake ndani ya Kamati kuu? Ni Hapana anaungwa mkono ma wengi kuliko heche
Je Yule anaeuza habari kwa Yule Dada?
Je yule Dada anachezewa akili na Vijana wa bawa?
Haha, Chadema wasipotegua huu mtego Rasmi inaenda kwa Cuf.
Utasikia Chadema ina ofisi mbili.
Siipendi Chadema ila nataka bado chadema iwepo tupate watu wa kuwashulikia
Hahaha hahaa.
Pipe dream.chadema inaenda kugawanywa kaka
sitaki hilo ila kimfumo chadema wamegawanyika.
bado majengo tu
Lipo linajihekesha chekesha linajua lina hatia na waliolituma wana ushahidi.M.A.P Thadei Ole Mushi ,hakika SUMU uliyolishwa irudi iende ikamfanye vibaya aliyesuka mpango na mtekelezaji.