Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa ndio umeongea ukhanithi gani dogo?!Hki chama why always Lema si atafute ajira nje ya SIASA? Amekuwa na platforma kubwa sana ndani ya hii SACCOS shauri ya mwenyekiti binamu yake🙆♂️🙆♂️🙆♂️
Ni hasara kwa taifa kuwa na wajinga kama wewe ,ur simply pathetic.Hilo ni jina langu siyo jina feki wewe pimbi wa ccm
Hujaelewa au?Hapa ndio umeongea ukhanithi gani dogo?!
Lema anasumbuliwa na tatizo la kutokuwa na Elimu dunia ya kutosha ,imagine anatumia bilia kulaani fikra zake mwenyewe🙆♂️🙆♂️🙆♂️Sijaona ushahidi wa namna Serikali au CCM inavyopanga kuhujumu uchaguzi
Nadhani Lema ameishiwa hoja amebakia na mipasho
Ya hawa maccm dawa yao ndogo sanaHili na Mimi ndio ninalo akilini ku scan majina yote yatakayobandikwa
Erythrocyte
Sio kweli , wala Lema asilaumiweSijaona ushahidi wa namna Serikali au CCM inavyopanga kuhujumu uchaguzi
Nadhani Lema ameishiwa hoja amebakia na mipasho
Wanajisumbua kuandikisha watu mara mia mia sasa kwenye System si itaonyesha tu? Na Mimi mtaani kwetu yakibandikwa majina ya wapiga kura nitaanza kufanya research ya kujua huyu anakaa wqpi na anaishi nyumba ipi. Mbona simple hiyo ni kazi ya siku mbili tu nakua nishamaliza na Kwenye kampeni hawa inatakiwa kupiga spana za nguvu mpaka Wananchi wabadilike. Mwendazake alilia pale Kawe. Niliteeni Gwajima nileeteeni Gwajima na alipendwa na wengi watakuwa hawa Watu wanakufa watu wanatekwa na kupotea halafu Mwenyekiti wao anasema drama.Ya hawa maccm dawa yao ndogo sana
Hiyo kazi ngumu kupitia jina moja moja yaani ukiwa na smartphone una scan majina yote halafu unaya save kwenye pdf format baadae unaingia kwenye computer una convert yawe kwenye excel format. Wajinga wote waliondikisha zaidi ya mara moja wote wataonekana na balaa ndio linaanzia hapo.This time ccm wataabika sana , kila mtaa mashinay za chama kuanzia mtaa wapitie jina moja moja , na pale inapogundulika mwandikishaji aliingiza majina bandia au wasio na vigezo ,aburuzwe mahakamani kwa jina binafsi , tuone kama ccm watawatetea nchi nzima kwa kuwawekea wanasheria nchi nzima
Uchaguzi ni November 2025 ,twende kazi ,mda bado upo
Kama chadema inamtegemea lema ni dhwahiri shahiri inaangukia pua lema sio makini ana utoto na masihara mengi!Patachimbika!