Lema: Wabunge sasa mjue Jamii inawachukia kuliko hata inavyomchukia Shetani

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Wafanyakazi hewa (wabungee) ni mzigo kwa walipa kodi....hawana faida yoyote!.
sahihi sana na bado
 
Maoni ya wachoma mabango na wavuta bangi wa CHADEMA!?
 
Nchi imefika pabaya, na uchaguzi uliopita ,watekaji wamefanya hali kua mbaya zaidi, fikiri TRA inaanza fikiriwa ni watekaji , tumefikaje hapa what next ?

Itafika mda popote pale mtu akitamka mtekaji unakufa kwa maumivu makubwa.

Je shida imeanzia wapi ?

Kwa nini tunachafua vyombo vyetu vya ulinzi , shida nini hapa.

Nchi hii ni huru , na inamilikiwa na watu wote bila chama ,kabila ,au dini , Mungu yupo kazini
 
Wananchi wanawaona wapo kimaslahi na walipatikana kwa wizi wa kura na si kuwa wamewachagua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…