Lema: Wabunge sasa mjue Jamii inawachukia kuliko hata inavyomchukia Shetani

Lema: Wabunge sasa mjue Jamii inawachukia kuliko hata inavyomchukia Shetani

Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema ameandika Ukurasani X akiwasihi Wabunge walionusurika ajalini Wasome maoni ya Wananchi kwenye mitandao ya kijamii

Lema amesema Jamii inawachukia Wabunge Kuliko hata inavyomchukia shetani

Soma Pia: Dodoma: Basi lililobeba Wabunge wa Tanzania lagonga Lori na kuwajeruhi Wabunge kadhaa

Baadae Mlale unono 😀

View attachment 3170626
Mpuuzi kweli huyu ,wanawatuma wajinga wa chadema kuwatukana wabunge wa ccm
 
Wabinafsi wanajali matumbo yao tu

Ova
 
kwamba kila anae comment ni chadema? Basi social media zifungiwe maana waliojaa mule ni chadema na wavuta bangi tu
Sa binadamu timamu utamombeaje kifo mwenzio kifo, kama co bangi na Akiri za kuchoma mabango ya raisi ni nini?
 
Sa binadamu timamu utamombeaje kifo mwenzio kifo, kama co bangi na Akiri za kuchoma mabango ya raisi ni nini?
Vipi pale binadamu anateka,anauwa anaibia,anaonea,anafunga mwenzieachilia mbali kuombea kifo.
 
Back
Top Bottom