Lema: Wabunge sasa mjue Jamii inawachukia kuliko hata inavyomchukia Shetani

Lema: Wabunge sasa mjue Jamii inawachukia kuliko hata inavyomchukia Shetani

Yule sabufa aliomba asikufe hivi karibuni.....dah maskhara haya.
 
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema ameandika Ukurasani X akiwasihi Wabunge walionusurika ajalini Wasome maoni ya Wananchi kwenye mitandao ya kijamii

Lema amesema Jamii inawachukia Wabunge Kuliko hata inavyomchukia shetani

Soma Pia: Dodoma: Basi lililobeba Wabunge wa Tanzania lagonga Lori na kuwajeruhi Wabunge kadhaa

Baadae Mlale unono 😀

View attachment 3170626
Kwakweli naona kuna chuki kubwa sana kati ya watawala na wananchi, ukisoma comments ni balaa na wale jamaa wa tra kidogo wauliwe
 
Wafanyakazi hewa (wabungee) ni mzigo kwa walipa kodi....hawana faida yoyote!.
Mmmm!? Usiseme hawana faida yoyote. Faida waliyo nayo ni kule kupitisha (kuhalalisha) miswada na kuunga mkono hoja kwa kupiga meza.
 
Back
Top Bottom