Lema: Wabunge sasa mjue Jamii inawachukia kuliko hata inavyomchukia Shetani

Yule sabufa aliomba asikufe hivi karibuni.....dah maskhara haya.
 
Kwakweli naona kuna chuki kubwa sana kati ya watawala na wananchi, ukisoma comments ni balaa na wale jamaa wa tra kidogo wauliwe
 
Wafanyakazi hewa (wabungee) ni mzigo kwa walipa kodi....hawana faida yoyote!.
Mmmm!? Usiseme hawana faida yoyote. Faida waliyo nayo ni kule kupitisha (kuhalalisha) miswada na kuunga mkono hoja kwa kupiga meza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…