Kama tuna Ndugai kwenye utendaji mkubwa wa nchi , na unashika peni kama mwanahabari basi wewe unapenda CCM kwasababu wapo madarakaniDuh.... Hivi kumbe Lema bado mnamfuatiliaga...
Haya endeleeni....
P
Tunamfuatilia Kila mtanzania kwani fikra chanya hazina Chama,Ila kwa sasa Lembrus ndio anatamba shahidi mwaminifu anaeweza kusimamia anacho kiamini na si mnafiki Kama walivyo watz wengi sasa hivi, anaeweza kumtizama pilato huku akiwa kizimbani na kusema yeye anataka haki itedeke na asiye fanya Hilo Ni wa mchongo hata Kama Ni pilato.Duh.... Hivi kumbe Lema bado mnamfuatiliaga...
Haya endeleeni....
P
Unajiona special ila ukweli wewe ni wakawaida tu. Ngoja nikwambie kwanini, wewe ni mtu usiye na msimamo na siku zote asiye na msimamo ni yule asiye jiamini.Duh.... Hivi kumbe Lema bado mnamfuatiliaga...
Haya endeleeni....
P
Hakuishia hapo tu Sabaya leo anamkumbukaUnaachaje kumfuatilia mtu aliyesema kwa usahihi kuwa jiwe lisipotubu litakufa na lilipofanya kiburi likafa kweli?
Paskali usisahau naye ni sukuma gang.Unajiona special ila ukweli wewe ni wakawaida tu. Ngoja nikwambie kwanini, wewe ni mtu usiye na msimamo na siku zote asiye na msimamo ni yule asiye jiamini...
.....Lofindo ndio nini kaka?Huyu Mayalla bora hata angeitwa Lofindo ingekua afazali.just jocking
Kiazi.....Lofindo ndio nini kaka?
CCM hii imeshaturudisha utumwani tayariUshawahi kuona mtu anakufa lakini haachi kusemwa kwenye vinywa vya watu? That goes to tell you kwamba mtu huyo kufa kwake si kitu bali ni mbegu ya chachu ya mabadiliko makubwa sana yanayofuata very soon. Baada ya Magufuli we can't afford kuruhusu mapoyoyo yaturudishe utumwani. Matter of time!
Hayo mambo mawili makubwa yaliyokuja kudhihirika kuwa kweli si haba kwa umri wa Lema.Duh.... Hivi kumbe bado kuna watu mnamfuatilia Lema anasemaga nini...
Ukiondoa ile "ndoto ya Lema" iliyokuja kutokea kweli, na lile onyo kwa Sabaya, jee kuna jingine lolote la maana Lema amewahi kulisema na likatokea?.
Haya endeleeni....
Kwa sababu ya chuki zako binafsi kwa Lema ndio maana unakumbuka hayo mawili tu, tena kwa kejeli, hivi wewe na Lema wote mkifa leo ni nani kati yenu ataacha legacy kwa taifa? Kwa CV Lema anakupita kwa mbali sana,maana yeye alishinda ubunge kwa vipindi viwili tena katika mazingira magumu ila wewe pamoja na kujipendekeza kwa mkuu wa mafisadi ulipata aibu ya karne. Mzee unazeeka vibayaDuh.... Hivi kumbe bado kuna watu mnamfuatilia Lema anasemaga nini.
Ukiondoa ile "ndoto ya Lema" iliyokuja kutokea kweli, na lile onyo kwa Sabaya, jee kuna jingine lolote la maana Lema amewahi kulisema na likatokea?
Haya endeleeni.
P
Hayo mawili aliyotabiri kwa usahihi yanatosha tuendelee kumwamini......Kizazi cha nyoka mnataka ishara gani tena na ishara mmeshapewa. Lema angekuwa Muebrania angetosha kabisa kuwa NabiiDuh.... Hivi kumbe bado kuna watu mnamfuatilia Lema anasemaga nini.
Ukiondoa ile "ndoto ya Lema" iliyokuja kutokea kweli, na lile onyo kwa Sabaya, jee kuna jingine lolote la maana Lema amewahi kulisema na likatokea?
Haya endeleeni.
P
Wewe naweeeeDuh.... Hivi kumbe bado kuna watu mnamfuatilia Lema anasemaga nini.
Ukiondoa ile "ndoto ya Lema" iliyokuja kutokea kweli, na lile onyo kwa Sabaya, jee kuna jingine lolote la maana Lema amewahi kulisema na likatokea?
Haya endeleeni.
P
Mayalla mbona kuna watu bado wanakusoma unachoandika pamoja na yooooote uliyowahi yasema na kuyafanya? ndo maisha yalivyo nawe watu kama bado wanakusoma.... ushukuru Mungu tu.Duh.... Hivi kumbe bado kuna watu mnamfuatilia Lema anasemaga nini.
Ukiondoa ile "ndoto ya Lema" iliyokuja kutokea kweli, na lile onyo kwa Sabaya, jee kuna jingine lolote la maana Lema amewahi kulisema na likatokea?
Haya endeleeni.
P
Mkuu ""Njaa"" Mayala umeshawahi kusikia "".....Lack of objectivity & particularity'' ???? au term la filosofia LOGIC???? uemeamua kutia mfukoni AKILI....Duh.... Hivi kumbe bado kuna watu mnamfuatilia Lema anasemaga nini.
Ukiondoa ile "ndoto ya Lema" iliyokuja kutokea kweli, na lile onyo kwa Sabaya, jee kuna jingine lolote la maana Lema amewahi kulisema na likatokea?
Haya endeleeni.
P
Mkuu Mayala ilikuwaje ILE ISSUE YA YULE HOUSE GIRL ?Mbunge mstaafu wa Arusha mh Godbless Lema anasema Wachagga wana msemo unasema " Siyo rahisi kumuona shetani anavyokuja bali utamuona shetani anavyoondoka"
Nyakati hizi za kesi za ugaidi hizi tungo tata zinafikirisha sana.
Je, Lema anapeleka huo ujumbe kwa bwashee gani?
Maendeleo hayana vyama!
Huyo siku hizi hana tofauti na kibajaji, black label zinamkataa anajilazimisha tu kunywaMkuu ""Njaa"" Mayala umeshawahi kusikia "".....Lack of objectivity & particularity'' ???? au term la filosofia LOGIC???? uemeamua kutia mfukoni AKILI....
hiyo uliyoifanya ni FALACY OF Ad Hominem , inayohusu PERSONAL ATTACK badala ya hoja.
argue against the point not the giver of point.
Hayo mawili hasa la ndoto ni ya maana kuliko yoyote uliyowahi kuandika ama kusema katika Jamhuri hiiDuh.... Hivi kumbe bado kuna watu mnamfuatilia Lema anasemaga nini.
Ukiondoa ile "ndoto ya Lema" iliyokuja kutokea kweli, na lile onyo kwa Sabaya, jee kuna jingine lolote la maana Lema amewahi kulisema na likatokea?
Haya endeleeni.
P