Lema: Wachagga tuna msemo unasema "Siyo rahisi kumuona shetani anavyokuja bali utamuona shetani anavyoondoka"

Duh.... Hivi kumbe bado kuna watu mnamfuatilia Lema anasemaga nini.

Ukiondoa ile "ndoto ya Lema" iliyokuja kutokea kweli, na lile onyo kwa Sabaya, jee kuna jingine lolote la maana Lema amewahi kulisema na likatokea?

Haya endeleeni.

P

wanaomfutilia lema ni chawa wa chadema
 
Hakika wachagga hongereni kwa msemo huu. Usaliti, unafiki, kukosa shukrani, Tunaalika na kupokea malaika ila tunaagana na mashetani. Malaika huja shidani na Mashetani huondoka yakishiba au yapatapo malisho mapya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…