Pre GE2025 Lema: Wajumbe wengi hawajapata vitambulisho

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hivi kuliiuwa ma ulazima gani kutajana tajana kwamba Munamuunga Lissu Mkono(Haswa kwa Wajjmbe).Yaaani ilitakiwa ipigwe kimnya kimnya Mbowe anakuja shangaa anakura 80 kati ya 1200
 
Ndiomaana Yericko Nyerere anakibr wanajua target yao ni kuwanyima haki ya kupiga kura wajumbe wasiowatiifu kwa mbowe
 
Reactions: G4N
Hivi kuliiuwa ma ulazima gani kutajana tajana kwamba Munamuunga Lissu Mkono(Haswa kwa Wajjmbe).Yaaani ilitakiwa ipigwe kimnya kimnya Mbowe anakuja shangaa anakura 80 kati ya 1200
Hizo ni figisu mkuu mbowe hicho anachokifanya hakitomuacha salama hata kama analindwa na dola
 
Toa vitambulisho kwa Wajumbe , Wajumbe wengi mpaka sasa hawajapata vitambulisho. Hii haikubaliki. - Godblless Lema
View attachment 3207715
Marehemu Mtikila aliwahi kusema kuwa waafrika tunasumbuliwa na ugonjwa unaojulikana kama apedomia (unyani). Ninapotazama yanayojiri hapa nchini na kwingineko Africa ya watu weusi, nashawishika kukubaliana nae. RIP Rev. Mtikila
 
Reactions: G4N
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…