Pre GE2025 Lema: Wajumbe wengi hawajapata vitambulisho

Pre GE2025 Lema: Wajumbe wengi hawajapata vitambulisho

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hizi mambo ndio zilisababisha roho ya Akwilina itoke.

Wazazi wake sijui wanajisikiaje sasa hivi kwa kuona watu walewale waliokuwa wakipinga jambo la aina ile ile ila kwasasa wanafanya wao.
 
Haya si masuala ya kuambiana ndani kwa ndani daah
 
Tumeambiwa kuwa Godbless Lema ni mwanachama wa kawaida wa CHADEMA na kuwa hana wadhifa au kura ya wajumbe wapiga kura.

Sasa huyu mwanachama wa kawaida huku mtaani amepewa mamlaka gani zaidi ya kutulia na kupewa taarifa ya maazimio, matokeo kwa njia za kawaida kama mtanzania yeyote kupitia radio na njia zingine za kisasa za TEHAMA akiwa nyumbani au kijiweni.

1737395980059.jpeg
 
Tumeambiwa kuwa Godbless Lema ni mwanachama wa kawaida wa CHADEMA na kuwa hana wadhifa au kura ya wajumbe wapiga kura.

20 January 2025
Simiyu, Tanzania

WANACHAMA WA KAWAIDA MKOANI SIMIYU WAFUNGUKA, HUKU WAKIFUATILIA UCHAGUZI KUTOKA MKOANI SIMIYU KATIKA KIJIWE

View: https://m.youtube.com/watch?v=vktUF--ZYxU
Viongozi na wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Wilaya ya Itilima mkoani Simiyu, nchini Tanzania ambao ni wanachama wa kawaida wasiyo kuwa na kura ya 'veto / turufu' kupiga kura kuchagua viongozi wa juu wa chama chao CHADEMA wametishia kujitoa unachama wa chama hicho endepo Mwenyekiti wa Chadema Taifa atachaguliwa kuwa Freeman Mbowe katika Mkutano Mkuu unaofanyika Januari 21, 2025.
 
Merikebu inazama nahodha anatapatapa....
 
BENSON KIGAILA AMKAANGA VIKALI " NI MUONGO, AMEKAA TU CHUMBANI KWAKE"


View: https://m.youtube.com/watch?v=wzjm3Lgw8FU
Wajumbe nao wahojiwa na mwandishi wa habari, wasema mambo yanaenda vizuri vitambulisho wanapata pia posho walimelipwa hivyo hakuna kitu cha wao kukosa vitambulisho kama taarifa zilizoenezwa mitandaoni kuwa wajumbe wamekosa au kunyimwa vitambulisho
 
Hizo ni figisu mkuu mbowe hicho anachokifanya hakitomuacha salama hata kama analindwa na dola
Mbowe amesaidiwa sana na TissCcm,Unajua System na Ccm wanamuogopa sana Lissu kuliko hata Mungu.
Wanakwenda kucheza mchezo ambao utatushangaza wengi mana CHAIRMAN watamsimika Mbowe,Then ili kuweka utulivu Makamu Mwenyekiti watampatia HECHE...kubalance upepo..Wanajua Kambi ya Lissu itakuwa na Sintofahamu..
Labda Heche akatae ushindi wake au aseme hana imani kufanya kazi chini ya Mbowe. 😂😂😂 kitu ambacho sio rahisi.
 
Toka maktaba :

7 September 2024
NCHIMBI - MBOWE RAFIKI YANGU INGAWA HUWA TUNAZOZANA WAKATI MWINGINE


View: https://m.youtube.com/watch?v=BFDLia-ZITE

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Freeman Mbowe amekutana na Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi katika hafla ya kumuaga aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mwananchi Communications Ltd (MCL), Bakari Machumu...
 
Huu nao utakuwa mbovu kuliko ule wa TAMISEMI.
 
Back
Top Bottom