Nini kitampata?Hizo ni figisu mkuu mbowe hicho anachokifanya hakitomuacha salama hata kama analindwa na dola
Haahaa yaleyale ya viapo vya mawakala kutoka kwa wakurugenziπππChadema kuweni makini, ccm wanawachora tuπToa vitambulisho kwa Wajumbe , Wajumbe wengi mpaka sasa hawajapata vitambulisho. Hii haikubaliki. - Godblless Lema
View attachment 3207715
umeanza kulalamika mapema kaa mkao wa kuchenyetwa.Toa vitambulisho kwa Wajumbe , Wajumbe wengi mpaka sasa hawajapata vitambulisho. Hii haikubaliki. - Godblless Lema
View attachment 3207715
π€£π€£π€£ kama wasira kalamba teuzi ss ni kina na nn tuspe tena mbowe hii ndy bongo landAyatollah khemenei kaguta nkurunzinza mbowe πππ
Sikujua kama mbowe anaakili za kijinga hivi
Tumeambiwa kuwa Godbless Lema ni mwanachama wa kawaida wa CHADEMA na kuwa hana wadhifa au kura ya wajumbe wapiga kura.
Mbowe amesaidiwa sana na TissCcm,Unajua System na Ccm wanamuogopa sana Lissu kuliko hata Mungu.Hizo ni figisu mkuu mbowe hicho anachokifanya hakitomuacha salama hata kama analindwa na dola
Subiria august hadi oct 2025 utafurahi kila sikuHamna kipindi nachofurahi kama wakati wa uchaguzi maana vituko ni vingi sana.
Kipindi hiko lema baunsa