Natambua hilo mkuu lakini mbunge ambaye amekuwa mbunge wa awamu mbili mfululizo hiyo ni aibu.Kampeni ni gharama mkuu, ukisema uwekeze pesa binafsi kwenye kampeni unaweza komba akaunti zote alafu ukianguka ndio unarudi chini kabisa.
Kukodi magari, kumobilize watu, kuhost mikutano, kuzunguka mtaa kwa mtaa lazma utoe motisha kwa wapambe, bado media campaign, kuna mabango n.k
So kuepuka risk ni bora uchangishe ili uweze kucover gharama za uchaguzi bila kuziweka rehani mali binafsi.
Natambua hilo mkuu lakini mbunge ambaye amekuwa mbunge wa awamu mbili mfululizo hiyo ni aibu.
Kumbuka sababu kubwa ya wabunge kulipwa mishahara na vinuua mgongo vikubwa ni sehemu ya maandalizi ya awamu inayofuata.
Huu ni ubinafsi mkubwa Sana wa viongozi wetu hakuna tofauti na ufisadi.
We kunachokuuma ni nn wakati huchangiiLema umekuwa Mbunge wa Arusha mjini kwa vipindi viwili mfululizo, tena ukilipwa mamilioni ya shilingi kwa mwezi...
We huchangii unaona shida gani umelelmikiwa na hao wengineHii sio sawa.
Yaani starehe zao wengine ndio waingie gharama??
Ni jambo la kawaida sana, Marekani wagombea wanachangiwa, mwenye dollar moja haya, mwenye dilkar tano hayaaSasa kama Lema anaomba msaada vipi kwa wagombea wageni kabisa kwenye uchaguzi.