Uchaguzi 2020 Lema wewe sio wa kuomba kuchangiwa hela ya kampeni

Uchaguzi 2020 Lema wewe sio wa kuomba kuchangiwa hela ya kampeni

Wagombea wengi wa chadema wana haki mbaya sana kifedha. Kama lema ni hivi vupi mgombea wa pale simiyu na kwingineko?
Sio kwamba wana hali mbaya, wanaogopa kuweka hela zao wanaona kama vile watakuwa wana bet ushindi aswa kwa upande wao kupoteza ni pakubwa sana na akipoteza atatoboaje 2020-2025 life mtaani.
 
Viinua mgongo ni ni namba tu, huwa wanakatwa mikopo ya gari..200ml za migari yao sio ndogo.
Kwani alilazimishwa anunue gari la ml 200!? Si ufahari wake tuu wa kutaka v8 ange tafafuta ata probox alizokuwa anabebea mirungi kenya hasingekuuwa na mzigo mkubwa.
 
Yawezekana fedha anayokusanya anasaidia na wabunge wengine hasa wapya wa chadema
Angeandika ni pamoja na kusaidia wabunge wengine. Hiyo michango ameomba yeye binafsi.
 
Nilishawaambia Lema anataka ubunge kwa maslahi binafsi na sio kwa maslahi ya wanaArusha...huyu ni mnyang'anyi...baadhi ya watu wa Arusha ni mashabiki tu wa chadema..ila Lema hajawahi kuwa chachu ya maendeleo Arusha.
Jamaa hana aibu kabisa, Kwa wabunge wageni sawa lakini sio yeye aliekaa vipindi viwili bungeni huu ni wizi kama wizi mwingine.
 
Natambua hilo mkuu lakini mbunge ambaye amekuwa mbunge wa awamu mbili mfululizo hiyo ni aibu.

Kumbuka sababu kubwa ya wabunge kulipwa mishahara na vinuua mgongo vikubwa ni sehemu ya maandalizi ya awamu inayofuata.

Huu ni ubinafsi mkubwa Sana wa viongozi wetu hakuna tofauti na ufisadi.
Trump na Joe Biden wote wanachangiwa na wanahamasisha watu wamchangie ela ya kampeni hivi kwanin watanzania ni wajinga sana including wewe idawa
 
Kwenye vitabu vya ndani ya chama wataweka pesa zilizotumika kwenye kampeni wakati ki uhalisia kila mgonbea anapambana na hali yake.
Duu umenikumbusha namna Lema alivyompiga tofali la kichwa Samson Mwigamba kisa kuulizia matumizi ya Chama.
 
Lema umekuwa Mbunge wa Arusha mjini kwa vipindi viwili mfululizo, tena ukilipwa mamilioni ya shilingi kwa mwezi.

Kama hiyo haitoshi umelipwa viinua mgongo viwili kingine bado hakijapoa kabisa zaidi ya milioni 200.

Leo bila aibu unajitokeza kuomba kuchangiwa kampeni, hii ni aibu ya mwaka mwongope Mungu.

Ina maana hukijiandaa miaka yote hii kuwa 2020 Kuna uchaguzi.?

Mh.Lema kuwa na aibu hata kidogo, huo ni wizi wa mchana kweupe

Huu sawa na ufisadi tu,Jimbo lenyewe Arusha mjini unapiga kampeni unarudi kulala Nyumbani kwako.

View attachment 1601411
Twende taratibu mkuu
Hiyo michango ni ya lazima au ya hiari ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi huy Lema kawahi kuchangia nini pale jimboni Arusha?hiyo hela si afadhali mungechanguia shule kuliko kumchangia mtu binafsi ambaye ananufaika yeye binafsi na familia yake,Lema ni tajiri ,kuomba kuchangiwa ni kuwaibia masikini mchana kweupe,huko bungeni hawakai ,kila siku wanagoma,amuombe Mbowe amchangie, hakuna aliyemtuma kugombea ubunge. halafu hawa si ndio walisema tususie Vodacom kumbe yeye bado anatumia Vodacom.
Mtu anaestahili kuchangiwa ni Lissu tu licha ya kudhulumiwa bado kampeni yake ni kubwa Sana kuzunguka nchi nzima.

Ila hawa akina Lema,Msigwa, Mdee na Heche kuomba kuchangiwa ni utapeli wa wazi kabisa yaani.
 
Mm namchangia kiroho safi mbunge wangu.
Kwani malaya wangapi tunawahonga?
Na hata kama humu JF yupo malaya anayetaka kuhongwa anakaribishwa PM.
Usiumie roho na pesa ya mtu,kila mmoja ana matumizi yake.
 
Kampeni ni za chama sio za mtu binafsi. Ndio maana mgombea anapeperusha bendera ya chama.
Kuchangia kampeni ni suala LA dunia nzima, ndio ndio maana ukienda bungeni huzungumzi yako Bali ya chama na misimamo yake.
Mkuu mtu anaestahili kuchangiwa ni Lissu, kila mmoja anajua yaliyomkuta. Licha ya hivyo kampeni yake ni kubwa Sana kuzunguka nchi nzima.

Ila hawa akina Lema ni utapeli tu, ukiwaambia wachangie maendeleo ya wananchi utasikia hiyo ni kazi ya serikali kazi ya Mbunge ni kuwasemea tu.

Sasa hayo mamilioni wanayolipwa yanaenda wapi...
 
Kampeni ni gharama mkuu, ukisema uwekeze pesa binafsi kwenye kampeni unaweza komba akaunti zote alafu ukianguka ndio unarudi chini kabisa.

Kukodi magari, kumobilize watu, kuhost mikutano, kuzunguka mtaa kwa mtaa lazma utoe motisha kwa wapambe, bado media campaign, kuna mabango n.k

So kuepuka risk ni bora uchangishe ili uweze kucover gharama za uchaguzi bila kuziweka rehani mali binafsi
Kwani Lema anaweza kushindwa Arusha ?
 
Pesa anachangisha lema wewe unateseka nini acha roho mbaya,hata Bill Gates angeomba achangiwe hela,kuna watu wangechanga,sembuse lema?
 
Wivu tu itakuwa kwa mgonjwa yasiyoambukizwa kama sartain shinikizo la damu kisukari, Helmut kujaa kwenye mishima ya moyo kusudi kwa vimeng'enyo endelea usije sema hatujakueleza sisi wana JF jinsi unavyotaka kujua kila kitu ndiyo unavyojua kuwa hujui
 
Mkuu mtu anaestahili kuchangiwa ni Lissu, kila mmoja anajua yaliyomkuta. Licha ya hivyo kampeni yake ni kubwa Sana kuzunguka nchi nzima.

Ila hawa akina Lema ni utapeli tu, ukiwaambia wachangie maendeleo ya wananchi utasikia hiyo ni kazi ya serikali kazi ya Mbunge ni kuwasemea tu.

Sasa hayo mamilioni wanayolipwa yanaenda wapi...
Nakuelewa sana mkuu wangu. Lakini kumbuka tatizo liko katika mifumo yetu ya kiuongozi na utawala.
Anacholipwa Lema, Mdee au Sugu wa Chadema ndicho alipwacho mbunge yeyote wa CCM. Ndiyo malipo yao halali ya ubunge kwa mujibu wa sheria.
Lakini kumbuka ndani ya Chadema bado tumejiwekea utaratibu wa Wabunge wetu kuchangia chama kila mwezi 500,000/ na wale viti maalum 1,500,000/ kwa maana kila mwaka wapo wanaochangia 6M na 18M kutoka katika mapato yao halali.
Jamani, ni haba mchango huo?
Mie nafikiri ngoja mwaka huu Chama kikisha timiza jukumu lake LA awali LA ukombozi kiingie jukumu LA pili LA kujijenga kiuchumi hapo kitakuwa na uwezo usio hitaji sana michango ya wanachama kwa shughuli kama hizi.
 
Sisi tunachanga
Wajinga ndio mliwao
Mm namchangia kiroho safi mbunge wangu.
Kwani malaya wangapi tunawahonga?
Na hata kama humu JF yupo malaya anayetaka kuhongwa anakaribishwa PM.
Usiumie roho na pesa ya mtu,kila mmoja ana matumizi yake.
Kwa hiyo Lema ni malaya kwa kuwa kaomba kuchangiwa. Haya mchangie kama unavyowachangia malaya
 
Kuhonga ni tofauti na kuchangia.Kwa akili yako bora baba yako angepiga nyeto (useless)
Wajinga ndio mliwao

Kwa hiyo Lema ni malaya kwa kuwa kaomba kuchangiwa. Haya mchangie kama unavyowachangia malaya
 
Soma muamala Mh Lema,wanachama na wapenzi ndio jukumu letu.
Ccm wanajichotea kule kwenye mfuko usio kaguliwa,ndio maana wamejaa majivuno na kebehi.
Upinzani lazima upewe support wa "wadau".
Komaa kamanda kazi inaisha hiyo
 
Lema umekuwa Mbunge wa Arusha mjini kwa vipindi viwili mfululizo, tena ukilipwa mamilioni ya shilingi kwa mwezi.

Kama hiyo haitoshi umelipwa viinua mgongo viwili kingine bado hakijapoa kabisa zaidi ya milioni 200.

Leo bila aibu unajitokeza kuomba kuchangiwa kampeni, hii ni aibu ya mwaka mwongope Mungu.

Ina maana hukujiandaa miaka yote hii kuwa 2020 Kuna uchaguzi.?

Mh.Lema kuwa na aibu hata kidogo, huo ni wizi wa mchana kweupe

Huu sawa na ufisadi tu,Jimbo lenyewe Arusha mjini unapiga kampeni unarudi kulala Nyumbani kwako.

View attachment 1601411
#NIYEYE2020
 
Wakala wake wanabidi walipwe sio chini ya milliin 5 kila mmoja ili wqsirubunike na laki 5 za ccm. So anahitaji pesq za wakala.
 
Back
Top Bottom