uporo wa wali ndondo
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 3,455
- 2,240
Sio kwamba wana hali mbaya, wanaogopa kuweka hela zao wanaona kama vile watakuwa wana bet ushindi aswa kwa upande wao kupoteza ni pakubwa sana na akipoteza atatoboaje 2020-2025 life mtaani.Wagombea wengi wa chadema wana haki mbaya sana kifedha. Kama lema ni hivi vupi mgombea wa pale simiyu na kwingineko?
Kwani alilazimishwa anunue gari la ml 200!? Si ufahari wake tuu wa kutaka v8 ange tafafuta ata probox alizokuwa anabebea mirungi kenya hasingekuuwa na mzigo mkubwa.Viinua mgongo ni ni namba tu, huwa wanakatwa mikopo ya gari..200ml za migari yao sio ndogo.
Jamaa hana aibu kabisa, Kwa wabunge wageni sawa lakini sio yeye aliekaa vipindi viwili bungeni huu ni wizi kama wizi mwingine.Nilishawaambia Lema anataka ubunge kwa maslahi binafsi na sio kwa maslahi ya wanaArusha...huyu ni mnyang'anyi...baadhi ya watu wa Arusha ni mashabiki tu wa chadema..ila Lema hajawahi kuwa chachu ya maendeleo Arusha.
Trump na Joe Biden wote wanachangiwa na wanahamasisha watu wamchangie ela ya kampeni hivi kwanin watanzania ni wajinga sana including wewe idawaNatambua hilo mkuu lakini mbunge ambaye amekuwa mbunge wa awamu mbili mfululizo hiyo ni aibu.
Kumbuka sababu kubwa ya wabunge kulipwa mishahara na vinuua mgongo vikubwa ni sehemu ya maandalizi ya awamu inayofuata.
Huu ni ubinafsi mkubwa Sana wa viongozi wetu hakuna tofauti na ufisadi.
Duu umenikumbusha namna Lema alivyompiga tofali la kichwa Samson Mwigamba kisa kuulizia matumizi ya Chama.Kwenye vitabu vya ndani ya chama wataweka pesa zilizotumika kwenye kampeni wakati ki uhalisia kila mgonbea anapambana na hali yake.
Twende taratibu mkuuLema umekuwa Mbunge wa Arusha mjini kwa vipindi viwili mfululizo, tena ukilipwa mamilioni ya shilingi kwa mwezi.
Kama hiyo haitoshi umelipwa viinua mgongo viwili kingine bado hakijapoa kabisa zaidi ya milioni 200.
Leo bila aibu unajitokeza kuomba kuchangiwa kampeni, hii ni aibu ya mwaka mwongope Mungu.
Ina maana hukijiandaa miaka yote hii kuwa 2020 Kuna uchaguzi.?
Mh.Lema kuwa na aibu hata kidogo, huo ni wizi wa mchana kweupe
Huu sawa na ufisadi tu,Jimbo lenyewe Arusha mjini unapiga kampeni unarudi kulala Nyumbani kwako.
View attachment 1601411
Mtu anaestahili kuchangiwa ni Lissu tu licha ya kudhulumiwa bado kampeni yake ni kubwa Sana kuzunguka nchi nzima.Hivi huy Lema kawahi kuchangia nini pale jimboni Arusha?hiyo hela si afadhali mungechanguia shule kuliko kumchangia mtu binafsi ambaye ananufaika yeye binafsi na familia yake,Lema ni tajiri ,kuomba kuchangiwa ni kuwaibia masikini mchana kweupe,huko bungeni hawakai ,kila siku wanagoma,amuombe Mbowe amchangie, hakuna aliyemtuma kugombea ubunge. halafu hawa si ndio walisema tususie Vodacom kumbe yeye bado anatumia Vodacom.
Mkuu mtu anaestahili kuchangiwa ni Lissu, kila mmoja anajua yaliyomkuta. Licha ya hivyo kampeni yake ni kubwa Sana kuzunguka nchi nzima.Kampeni ni za chama sio za mtu binafsi. Ndio maana mgombea anapeperusha bendera ya chama.
Kuchangia kampeni ni suala LA dunia nzima, ndio ndio maana ukienda bungeni huzungumzi yako Bali ya chama na misimamo yake.
Kwani Lema anaweza kushindwa Arusha ?Kampeni ni gharama mkuu, ukisema uwekeze pesa binafsi kwenye kampeni unaweza komba akaunti zote alafu ukianguka ndio unarudi chini kabisa.
Kukodi magari, kumobilize watu, kuhost mikutano, kuzunguka mtaa kwa mtaa lazma utoe motisha kwa wapambe, bado media campaign, kuna mabango n.k
So kuepuka risk ni bora uchangishe ili uweze kucover gharama za uchaguzi bila kuziweka rehani mali binafsi
Nakuelewa sana mkuu wangu. Lakini kumbuka tatizo liko katika mifumo yetu ya kiuongozi na utawala.Mkuu mtu anaestahili kuchangiwa ni Lissu, kila mmoja anajua yaliyomkuta. Licha ya hivyo kampeni yake ni kubwa Sana kuzunguka nchi nzima.
Ila hawa akina Lema ni utapeli tu, ukiwaambia wachangie maendeleo ya wananchi utasikia hiyo ni kazi ya serikali kazi ya Mbunge ni kuwasemea tu.
Sasa hayo mamilioni wanayolipwa yanaenda wapi...
Wajinga ndio mliwaoSisi tunachanga
Kwa hiyo Lema ni malaya kwa kuwa kaomba kuchangiwa. Haya mchangie kama unavyowachangia malayaMm namchangia kiroho safi mbunge wangu.
Kwani malaya wangapi tunawahonga?
Na hata kama humu JF yupo malaya anayetaka kuhongwa anakaribishwa PM.
Usiumie roho na pesa ya mtu,kila mmoja ana matumizi yake.
Wajinga ndio mliwao
Kwa hiyo Lema ni malaya kwa kuwa kaomba kuchangiwa. Haya mchangie kama unavyowachangia malaya
#NIYEYE2020Lema umekuwa Mbunge wa Arusha mjini kwa vipindi viwili mfululizo, tena ukilipwa mamilioni ya shilingi kwa mwezi.
Kama hiyo haitoshi umelipwa viinua mgongo viwili kingine bado hakijapoa kabisa zaidi ya milioni 200.
Leo bila aibu unajitokeza kuomba kuchangiwa kampeni, hii ni aibu ya mwaka mwongope Mungu.
Ina maana hukujiandaa miaka yote hii kuwa 2020 Kuna uchaguzi.?
Mh.Lema kuwa na aibu hata kidogo, huo ni wizi wa mchana kweupe
Huu sawa na ufisadi tu,Jimbo lenyewe Arusha mjini unapiga kampeni unarudi kulala Nyumbani kwako.
View attachment 1601411