CCM MKAMBARANI
JF-Expert Member
- Mar 15, 2017
- 2,031
- 1,514
Aisee hivi kigera kwenda bweri nasikia kuna njia ya lami kupitia kwa saananeAndika pole pole.....unakimbilia nini?...
Kwa hiyo unaamini kabisa ugali ni chakula cha maskini ?kwani ni uongo? Africa kosa kuu ni kuambiana ukweli,
V8 moja against Bil 700 Mwaka ? .....imebakia nchi 1 tu duniani wajinga wengi kuliko hata upepo....ccm acha watawale milele....ujinga umasikini .....ubongo kuna funzaHivi aliongelea kuhusu V8 la kaka yake Mbowe?
Ni kawaida yake akishawahi tukana manzese kwenye mkutano wa kampeni kuwa CCM inewasababishia maisha magumu wakazi wa Manzese kuwa wengi wanakula utumbo,miguu ya kuku na vichwa vya kuku wakamzomea hakujua kuwa hicho ni chakula maarufu Kwa wakazi wa uswahilini Dar es salaam na hukila Kwa hiari Yao hata wachinje kuku mzima kilichowakuta Chadema ilinyimwa kura wakawapa CCM waliowahikishia kuwa miguu ya kuku,utumbo wa kuku utaendelea kuliwa kama kawaidaAlikuja na mkwara wa watu kuacha kula ugali akidai ni chakula cha kimasikini. Labda kaungana na familia yake Toronto kufakamia burgers na pizza! π
Njaaa njaa njaaTumezoea kusika uropokaji wa aliekuwa mbunge wa Arusha mjini kupitia mitandao ya kijamii na hata kwenye mikutano.Ni muda umepita bila ya kumsikia huyu jamaa.Binafsi naamini atakuwa na issues kwani si kawaida yake kukaa kimya.
Huyu jamaa ni shidaNi kawaida yake akishawahi tukana manzese kwenye mkutano wa kampeni kuwa CCM inewasababishia maisha magumu wakazi wa Manzese kuwa wengi wanakula utumbo,miguu ya kuku na vichwa vya kuku wakamzomea hakujua kuwa hicho ni chakula maarufu Kwa wakazi wa uswahilini Dar es salaam na hukila Kwa hiari Yao hata wachinje kuku mzima kilichowakuta Chadema ilinyimwa kura wakawapa CCM waliowahikishia kuwa miguu ya kuku,utumbo wa kuku utaendelea kuliwa kama kawaida
Dar uswahilini hata uwape hayo mapizza na ma burger Bure hawali hata wakila watadai uwape miguu ya kuku,utumbo wa kuku na vichwa vya kuku
Ungelijua aisee πππNjaaa njaa njaa
Unafiki tu mnapenda na majungumajungu kama wadada.Tumezoea kusika uropokaji wa aliekuwa mbunge wa Arusha mjini kupitia mitandao ya kijamii na hata kwenye mikutano.Ni muda umepita bila ya kumsikia huyu jamaa.Binafsi naamini atakuwa na issues kwani si kawaida yake kukaa kimya.
Hata mi nilishaacha ugali mkuu. Ni mwendo wa burgers na pizza tu daily πͺπͺπͺkwani ni uongo? Africa kosa kuu ni kuambiana ukweli,
Kumbe nae ni mchumia tumbo?Nabii huwaga haongei ovyo, yupo bize arusha na wananchi wake, wakipanga namna salama na ya amani kurudi nyumbani kwake bungeni
V8 Mbowe kanunua kawa pesa yake binafsi sio kodi za waTanzania. Inaelekea una wivu wa kike.Hivi aliongelea kuhusu V8 la kaka yake Mbowe?
Ndio... mbona ni ya muda mrefu tu. πAisee hivi kigera kwenda bweri nasikia kuna njia ya lami kupitia kwa saanane
πAlikuja na mkwara wa watu kuacha kula ugali akidai ni chakula cha kimasikini. Labda kaungana na familia yake Toronto kufakamia burgers na pizza! π