Lema yuko wapi?

Lema yuko wapi?

Hivi aliongelea kuhusu V8 la kaka yake Mbowe?
V8 moja against Bil 700 Mwaka ? .....imebakia nchi 1 tu duniani wajinga wengi kuliko hata upepo....ccm acha watawale milele....ujinga umasikini .....ubongo kuna funza
 
Alikuja na mkwara wa watu kuacha kula ugali akidai ni chakula cha kimasikini. Labda kaungana na familia yake Toronto kufakamia burgers na pizza! 😁
Ni kawaida yake akishawahi tukana manzese kwenye mkutano wa kampeni kuwa CCM inewasababishia maisha magumu wakazi wa Manzese kuwa wengi wanakula utumbo,miguu ya kuku na vichwa vya kuku wakamzomea hakujua kuwa hicho ni chakula maarufu Kwa wakazi wa uswahilini Dar es salaam na hukila Kwa hiari Yao hata wachinje kuku mzima kilichowakuta Chadema ilinyimwa kura wakawapa CCM waliowahikishia kuwa miguu ya kuku,utumbo wa kuku utaendelea kuliwa kama kawaida

Dar uswahilini hata uwape hayo mapizza na ma burger Bure hawali hata wakila watadai uwape miguu ya kuku,utumbo wa kuku na vichwa vya kuku
 
Tumezoea kusika uropokaji wa aliekuwa mbunge wa Arusha mjini kupitia mitandao ya kijamii na hata kwenye mikutano.Ni muda umepita bila ya kumsikia huyu jamaa.Binafsi naamini atakuwa na issues kwani si kawaida yake kukaa kimya.
Njaaa njaa njaa
 
Huyu jamaa ni shida
 
Tumezoea kusika uropokaji wa aliekuwa mbunge wa Arusha mjini kupitia mitandao ya kijamii na hata kwenye mikutano.Ni muda umepita bila ya kumsikia huyu jamaa.Binafsi naamini atakuwa na issues kwani si kawaida yake kukaa kimya.
Unafiki tu mnapenda na majungumajungu kama wadada.
 
Nabii huwaga haongei ovyo, yupo bize arusha na wananchi wake, wakipanga namna salama na ya amani kurudi nyumbani kwake bungeni
 
Back
Top Bottom