Lema yuko wapi?

Lema yuko wapi?

Makupa

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
6,822
Reaction score
4,034
Tumezoea kusika uropokaji wa aliekuwa mbunge wa Arusha mjini kupitia mitandao ya kijamii na hata kwenye mikutano.Ni muda umepita bila ya kumsikia huyu jamaa.Binafsi naamini atakuwa na issues kwani si kawaida yake kukaa kimya.
 
Tumezoea kusika uropokaji wa alirkuwa mbunge wa Arusha mjini kupitia mitandao ya kijamii na hata kwenye mikutano.Ni muda umepita bila ya kumsikia huyu jamaa.Binafsi naamini atakuwa na issues.
.......akijibu kuwa yupo kwake Njiro utampa nini?
 
Kama umemmiss mfate kwake...Nchi inawapuuzi wanafiki hii wanataka kuskiliza ujinga wa machawa hawataki elimu ya kuwavusha kimaisha ndomana kauli zilizotamba zoote ni za machawa na vitoto vijinga LAKINI kauli za kujenga nchi na kupinga dhulma hazionekani za maana, poor Country.
Kauli za katiba mpya,chaguzi huru,kilimo chakisasa,elimu Bora hazinamashiko watu wanataka "nahapa ipoo kichogo ka zuchu" pumbafu kabisa.
 
Tumezoea kusika uropokaji wa alirkuwa mbunge wa Arusha mjini kupitia mitandao ya kijamii na hata kwenye mikutano.Ni muda umepita bila ya kumsikia huyu jamaa.Binafsi naamini atakuwa na issues.
Wewe ni mjane?
 
Ukisha jua alipo bei ya Sukari itashuka?
 
Tumezoea kusika uropokaji wa alirkuwa mbunge wa Arusha mjini kupitia mitandao ya kijamii na hata kwenye mikutano.Ni muda umepita bila ya kumsikia huyu jamaa.Binafsi naamini atakuwa na issues.
Juzi tu ametoa waraka kwa serikali na saa 100.....kuhusu hali mbaya wananchi.....vs matumizi mabaya serikali v8 etc....yupo sana
 
Hivi aliongelea kuhusu V8 la kaka yake Mbowe?
 
Back
Top Bottom