GE2025 Lembrus Mchome: Nimemshauri sana Heche lakini hashauriki. Viongozi wengi wamejaa ghilba , viburi na jeuri

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Wakuu

Akiwa anazungumza leo kwenye mahojiano aliyoyafanya wakiwa kwenye mkutano mkuu wa CHAUMMA, Lembrus Mchome amesema kuwa amejaribu sana kumshauri Heche lakini kiongozi huyo hashauriki



Your browser is not able to display this video.
 
Wakuu

Akiwa anazungumza leo kwenye mahojiano aliyoyafanya wakiwa kwenye mkutano mkuu wa CHAUMMA, Lembrus Mchome amesema kuwa amejaribu sana kumshauri Heche lakini kiongozi huyo hashauriki



Usingizi wa Msajili wa vyama huu, watachomwa moto vibaya wawili hawa kwa usodoma wao !
 
Maono yako yatimie bila kuchelewa,aaamiin!
 
Wakuu

Akiwa anazungumza leo kwenye mahojiano aliyoyafanya wakiwa kwenye mkutano mkuu wa CHAUMMA, Lembrus Mchome amesema kuwa amejaribu sana kumshauri Heche lakini kiongozi huyo hashauriki



Chadema nao tuache unyonge hivi huyu anabaki vipi ndani ya chama? Inatakiwa atimuliwe maana anatuvuruga na haondoki
 
Na iwe hivyo kwa jina la muumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…