chrisant petro
Member
- Feb 28, 2025
- 8
- 0
A dead is deadđź–•Kwani Heche ni kabila gani? Tumia akili kufikiri kabla ya kuandika. Kusema kabila la mtu ni acknowledgement, siyo ukabila. Au hujui kuwa kuwepo kwa makabili ni reality siyo hypothetical?

Sasa ndo umeandika nini hapo đź–•A dead is deadđź–•
Napigilia msumari ,kutoa ushauri ni jambo moja ,anayepewa ushauri ni hiyari yake aufanyie kazi au asiufanyie.Siyo lazima ushauri wako upokelewe na kutekelezwa unavyotaka. Vinginevyo, ungekuwa kiongozi mwenyewe basi.