Kwahiyo makamanda mmepanga kufanya vurugu kwenye kampaeini za hao CHAUMMA? Kaeni mbali sana maana mtapigwa au kuswekwa ndani. NI USHAURI MZURI HUUNatabiri kuwa kuanzia muda wa kampeni katikati hawa chauma wataanza kupigwa mawe na wananchi wakiwa kwenye kampeni moderator weka uzi huu ukaishi mutasema nimeonyeshwa na Muumba nimeona mawe yakipigwa kwenye kampeni hususa ni vijana wadogo Ngenz walio chukizwa na wasaliti
Mjinga huyuWakuu
Akiwa anazungumza leo kwenye mahojiano aliyoyafanya wakiwa kwenye mkutano mkuu wa CHAUMMA, Lembrus Mchome amesema kuwa amejaribu sana kumshauri Heche lakini kiongozi huyo hashauriki
Wpuz sana hawaMpinzani wa chaumma ni chadema au CCM? Mbona hawaeleweki Hawa ma Yuda iskarioti
Hatuna muda mchafu kuhangaika na walevi wananchi wenyewe watawahukukmu kwa kuwapuuza wenye asili ya kufanyia watu vurugu ni maccm kwa vile wanapewa ulinzi wa vyombo vya ddola kutekeleza ushenzi wao.Kwahiyo makamanda mmepanga kufanya vurugu kwenye kampaeini za hao CHAUMMA? Kaeni mbali sana maana mtapigwa au kuswekwa ndani. NI USHAURI MZURI HUU
😂😂😂😂😂…uyu akirudi wasimpikie Viazikwanza kashakula ubwabwa au bado ana njaa??
Hatutaki ushauri wake!
Hawana aibuWpuz sana hawa
Ova
Asa wakurya wameingiaje hapo? Acha ukabila mjinga mmoja wewe.Aliyekuambia wakurya wanashaurika alikupiga changa la macho.
Wewe ni mtu wa kumshauri HECHE? Wewe fala uliyekuwa unalipiwa kodi na msajili ili kuua upinzani. Umesoma hadi darasa la ngapi? Mtu wa ovyo sana wewe.Wakuu
Akiwa anazungumza leo kwenye mahojiano aliyoyafanya wakiwa kwenye mkutano mkuu wa CHAUMMA, Lembrus Mchome amesema kuwa amejaribu sana kumshauri Heche lakini kiongozi huyo hashauriki
Kwani Heche ni kabila gani? Tumia akili kufikiri kabla ya kuandika. Kusema kabila la mtu ni acknowledgement, siyo ukabila. Au hujui kuwa kuwepo kwa makabili ni reality siyo hypothetical?Asa wakurya wameingiaje hapo? Acha ukabila mjinga mmoja wewe.
Kamanda usiniacheHatuna muda mchafu kuhangaika na walevi wananchi wenyewe watawahukukmu kwa kuwapuuza wenye asili ya kufanyia watu vurugu ni maccm kwa vile wanapewa ulinzi wa vyombo vya ddola kutekeleza ushenzi wao.