PreGE2025 Lembrus Mchome: Tundu Lissu hana tofauti na Magufuli ni dikteta uchwara

PreGE2025 Lembrus Mchome: Tundu Lissu hana tofauti na Magufuli ni dikteta uchwara

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Malipo ni hapahapa duniani, kikombe alichomnywesha Magufuli, atakinywea chini ya hili jua.

Dikteta uchwara Lisu
 
Lissu anatakiwa ang'olewe anaharibu chama
🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Mnakumbuka shaka kumekucha!

Mmeshachelewa sana. Kitukuu cha Yesu kipo kazini kuwanyooshq. Hadi mseme poo mwaka huu.

Alafu next time wapeni hela hata watu wenye akili basi. Hilo zezeta Mchome hata kuongea halijui alafu linakula hela zenu burebure tu mbogamboga.
 
Watu wanafanya kazi,wewe unasema wanakula bure!
Hela za Abdul na CCM zinaliwa kindezi sana 🤣🤣🤣🤣

Yaaani hili takataka Mchome ndo wanaliweka kwenye payroll???

Uzuri Wananchi huwaambii kitu na No Reform No Election. Jitihana zote zimeshafeli.
 
Kiongozi wa Chadema wa Wilaya ya Mwanga ameeleza waandishi wa habari kwamba Lissu ni dikteta sawa na JPM.

Mchome ameeleza hayo wakati akiongea na waandishi wa habari. Mchome amelalamika chama chake kushindwa kuifanyia kazi barua yake ambayo inaonyesha Mnyika, Golugwa na wengine kwamba hawakuteuliwa kihalali, ila wanakula bure mishahara ya chama.

Mlizoea udalali sasa Lisu kawakatia mirija mnatoa povu,na bado.
 
Hakuna mtu ana muda wa kumsikiliza au kumjibu Mchome. Kuingia kwa Lissu madarakani kumeua kibarua cha Mchome kuvuna pesa za mama Abdul. Hana kazi tena.
Ni njaa tu inamsumbua.
Atabweka bweka sasa, baada ya wiki chache zijazo hutamsikia tena.
 
Watanzania wanavyompenda Magufuli pamoja na mapungufu yake makubwa, Huyu Mchome ajue tu kuwa anampaisha Lissu badala ya kumbomoa mbele ya mamilioni ya Watanzania akimliganisha na Magufuli ( Japo mimi binafsi sijawahi kumkubali Magufuli).
 
Kiongozi wa Chadema wa Wilaya ya Mwanga ameeleza waandishi wa habari kwamba Lissu ni dikteta sawa na JPM.

Mchome ameeleza hayo wakati akiongea na waandishi wa habari. Mchome amelalamika chama chake kushindwa kuifanyia kazi barua yake ambayo inaonyesha Mnyika, Golugwa na wengine kwamba hawakuteuliwa kihalali, ila wanakula bure mishahara ya chama.

Pia soma

 
Mlango umewabana watu vidole ni vilio tu vya uchungu. Lissu kandamiza kbsaaa.
 
Sioni tofauti kubwa kati ya Tundu Lissu na John Pombe Magufli..
  • Wote wanajua(walikuwa wanajua )yoteWote
  • Wote hawapendi(hawakupenda) kukosolewa
  • Wote hawakubali(hawakukubali) kubadili misimamo mikali
  • Wote wana (walikuwa) upinzani wa chinichini
  • Wote mambo yalipochacha walikimbia makao(Chato na Ubelgiji)
Mwenye mengine ajaze.
 
Ni hali ya kawaida Kwa wenye IQ kubwa .


Ipo hivi ukiwa na Akili, Narudia ukiwa na Akili, lazima uishie Kwa kuheshim falsafa za Kichwa chako.


Wenye akili Huwa ni ngumu kua machawa, Humuoni LUAGA MPINA???
 
Sioni tofauti kubwa kati ya Tundu Lissu na John Pombe Magufli..
  • Wote wanajua(walikuwa wanajua )yoteWote
  • Wote hawapendi(hawakupenda) kukosolewa
  • Wote hawakubali(hawakukubali) kubadili misimamo mikali
  • Wote wana (walikuwa) upinzani wa chinichini
  • Wote mambo yalipochacha walikimbia makao(Chato na Ubelgiji)
Mwenye mengine ajaze.
Kwanza tufahamu wewe ni Lyayonga au Mchome?
 
Sasa kilichobaki ni kumpa urais Mh. Lissu japokuwa siungi mkono kuzuia uchaguzi ila naunga mkono No Reform, No Election.
 
074e35cf8c360bbb860ffde22881b1a3.jpg
 
Nasikia Mrema kapewa wiki mbili tu arudishe kibunde cha watu.
 
Sioni tofauti kubwa kati ya Tundu Lissu na John Pombe Magufli..
  • Wote wanajua(walikuwa wanajua )yoteWote
  • Wote hawapendi(hawakupenda) kukosolewa
  • Wote hawakubali(hawakukubali) kubadili misimamo mikali
  • Wote wana (walikuwa) upinzani wa chinichini
  • Wote mambo yalipochacha walikimbia makao(Chato na Ubelgiji)
Mwenye mengine ajaze.
Mbona Zitto alikuwa anamkosoa sana Magufuli alipatwa na nini?
January Makamba na Kampuni yake mbona walikuwa wanamkosoa na kumdhihaki Magufuli walipatwa na nini?

Vipi Kuhusu Samia ni nani amemkosoa na akabaki salama? Ni Soka au Ally Kibao? Au Job ndugai alipomkosoa mama ilikuwaje!
Vipi Kuhusu Polepole na Shule yake ya uongo Iliishaje?
Ivi Mbowe alikamatwa na kukaa gerezani miezi nane na nani?
Kwanini alitoka gerezani na kwenda IKULU moja kwa moja?

Ni nani aliyemtukana waziri Mkenda NOSENSE kwa kukataa dili la majangili ya Sukari?
 
We mseng.e kweli.

Unamfananisha vipi Magufuli na Lissu.
 
Back
Top Bottom