Marehemu hasemwi vibaya mkuu, hivi ikitokea chance Mange anataka kupatanishwa na wewe utakubali?- Sawa ila ninasema cha msingi ni kulekezea hayo matusi kwa muhusika yaani Mange ambaye baba yake marehemu ndiye aliyefanyiwa na mashahidi wapo, au nakosea?
le Mutuz
- next time sema umri wako kwanza na unayoyafanya then ulizia ya wengine hahahahahha
le Mutuz
Imebidi nimwonee huruma sana huyo le big body and brain less kwa kweli ............... Hapa ulitakakiwa uwe unazungumzia watoto kuwepo shule na kusubiria wajukuu................. sasa kweli umri huo 50++ + unadhubutu kuzungumzia le baby? kweli kua uyaone....... Kweli wewe na 50+++ yako unasema eti umeajiri vijana 8? Sasa si bora yule mwenye shamba lake la heka 200 na zaidi aliyeajiri vijana zaidi ya 30 na bado hawezi kuja kutamba kwenye mitandao? umri wako na unachokifanya kwa kweli sio kabisa ati studio ya ONTV na ajira ya watu8 shame on you Big body........................... Bora hata Mange mara mia kuliko wewe.............. vipi njoo kwa garage yangu uone nina vijana wangapi wanaojifunza tuu na wangapi wanafanya kazi na bado nitakunyooshe agari yako bure.............
Inaelekea unamuwaza sana mange , sasa hapa ameingia vipi , pambana na hali yako- Sawa ila ninasema cha msingi ni kulekezea hayo matusi kwa muhusika yaani Mange ambaye baba yake marehemu ndiye aliyefanyiwa na mashahidi wapo, au nakosea?
le Mutuz
yule binti yako anakuja lini bongo? halafu namjua jamaa anaetembea na mkeo .yule mkurya handsome kweli lazima upigwe chini ndugu yangu- yaani kama walivyoyashika wanaume 10 waliombaka marehemu baba yake, i can understand that anakumbuka mpaka leo alichokiona kwenye video hahahahahaha
le Mutuz
Wewe unashida kabisa ndio maana una mwili puto.. Mange kaingia je hapa wewe?
yule binti yako anakuja lini bongo? halafu namjua jamaa anaetembea na mkeo .yule mkurya handsome kweli lazima upigwe chini ndugu yangu
Wewe umewahi kufanya nini zaidi sana hapa? kweli wewe ni shida ata Nasra baby................ huyo si ni mjukuu? na nasikia hadhubutu kwenda na wewe popote kukiwa na mwanga wa Mungu ha ha ha ha ha
Wabongo Bwana sijui mpoje.Angekuwa anaendesha HAMMER mngesema aliiba hela za watanzania kupitia cheo cha Baba yake.AMEKUWA MZALENDO KWA KUJITAFUTIA KIDOGO KWA NGUVU ZAKE MWENYEWE MNAMTUKANA.RZ1 MMEMPIGIA KELELE SANA MKASEMA HELA KATOA WAPI.KIJANA WA LOWASA ANAFANYA BIASHARA, MAKAMBA WAZIRI, WA MWINYI WAZIRI,HUYU WA MALECELA AMECHAGUA Online TV na usafiri wake ni NOAH.sasa shida ipo wapi?- ni kweli it is about a choice kununua magari au kujenga studio ya Online TV na kutoa ajira kwa vijana 8 tayari, nikachangua kujenga studio hahahahahahaa and I am proud of it
le Mutuz
Inaelekea unamuwaza sana mange , sasa hapa ameingia vipi , pambana na hali yako
- Sawa ila ninasema cha msingi ni kulekezea hayo matusi kwa muhusika yaani Mange ambaye baba yake marehemu ndiye aliyefanyiwa na mashahidi wapo, au nakosea?
le Mutuz
Mkuu, unatembelea Noah nini? Kulikoni, mbona umeng'aka kiasi hiki?Utoto na wivu. Kutembelea Noah ndo Mtu ashindwe kumnunulia Mtu hata Porsche. Inategemea na Interests wewe na mimi hatuwezi kuzungumzia uwezo Wa mtu ambaye sie Sisi. So zip up. Afu na mtoa mada kumwagwa Au kumwaga we utajuaje. Ushoga ndo mana haushi. Kuingilia vitu tu havikuhusu mtaoelewa
Inaelekea unamuwaza sana mange , sasa hapa ameingia vipi , pambana na hali yako
- hahahahahaha so picha zote huwa tunapiga usiku tu hahahahahaha sema unamuonea wivu ungependa nikuoe wewe hahahahaha
le Mutuz
Mkuu, unatembelea Noah nini? Kulikoni, mbona umeng'aka kiasi hiki?
Wewe pambana tu na hali yako tu hamna namna............... hivi nasikia alikuwa housegirl wa Bashite ndio basi tena
najua ulipewa talaka .mkeo alichukuliwa na kitu kizuuri cha ukweli.chezea mkurya wewe. nasikia ulikimbia child support marekani- sina mke nili divorce ninaye mchumba wangu, nilisha move on maisha ya my ex hayanihusu hahahahaha
le Mutuz
Mimi mwenyewe nimeshangaa Mange anaingia je hapo? anajibu ndio anayetoa matusi............ lemutz kila mtu anakujua wewe mwili mkubwa akili nukta