Lemutuz aombwa kuwa makini na Hamisa Mobetto.

Lemutuz aombwa kuwa makini na Hamisa Mobetto.

Status
Not open for further replies.
Kucheka cheka huko ni nini maana yake?
Ukiona mwanaume anamchekea chekea mwanaume mwenzake ujue anapandwa na kupigwa madolee...
Yaani wewe kazi yako kucheka cheka tu, bila shaka unawashwa unatafuta wa kukupanda upate hela ya kuweka mafuta kwenye hicho kivox mkweche chako...
Okey kila lakher...

- sasa mbona unajua sana details kama hujafanyiwa? hahahahahahha

le Mutuz
 
Nimeona TV yako ina subscribers 424 sijui una gundu gani, au kwavile una urafiki na Bashite? Na je hao vijana unawalipaje ndugu yangu, hao wadhamini ni wajinga kiasi gani wakulipe kwa subscribers 424 na views 1k-5k kwa video wakati wenzako kina Ayo wanagonga hadi 1M? Ila hongera kwa kufungua ofisi[emoji1] [emoji1]

- ndio kwanza tumeanza hatuna haraka maana hawaji mbio mbio kazi kwanza, tayari tuna sponsors so hatuna haraka

le Mutuz
 
Nimeona TV yako ina subscribers 424 sijui una gundu gani, au kwavile una urafiki na Bashite? Na je hao vijana unawalipaje ndugu yangu, hao wadhamini ni wajinga kiasi gani wakulipe kwa subscribers 424 na views 1k-5k kwa video wakati wenzako kina Ayo wanagonga hadi 1M? Ila hongera kwa kufungua ofisi[emoji1] [emoji1]
ndio ofisi yake yakwanza kashtukia uzeeni
 
- hahahahahahaha kwanza sijaaachana na Baby wangu Nasra, na pili hizo picha ni za miaka 3 iliyopita sijaonana na Hamisa toka Mwaka jana mara ya mwisho tulikutana Fish Market kabla hata hajawa mjamizto, sijamuona tena so guys mpuuzieni huyu jamaa na huu udaku!

le Mutuz


TANGU LINI MAHAWARA WAKAACHANA AU WAKAPEANA TALAKA...MZEE UNAKAMATIA KISELA WEWE...!😀😀😀😀
 
- Uongo ukiandikwa sana unageuka kuwa ukweli, so unakubali kwamba unashangilia uongo unaoujua kuwa ni uongo na wewe great thinker? Kuhusu Nasra ungetulia tu hujui anything ungejali maisha yako au unataka nikuoe wewe?

le Mutuz
Kaka usishangae hili ni jukwaa la celebrities udaku kawaida
 
- Kwenye haya matusi unakosea sana maana sasa unamkumbusha Mange aliyofanyiwa marehemu Baba yake, imagine wewe mtu akukumbushe mabaya aliyofanyiwa baba yako ambaye ni marehemu?

le Mutuz
Mange anahusikaje na mada hii mkuu?
 
Yaani hapa lemutuz anatamani ingekuwa Instagram angewablock wote.

Hivi lemutuzi kwanini wewe na dada yako mange hamuishi kuwablock watu wanaotofautiana na nyie kimtazamo? Nia yenu ni kufuga nyumbu wasiowapinga?
 
- yaani kama walivyoyashika wanaume 10 waliombaka marehemu baba yake, i can understand that anakumbuka mpaka leo alichokiona kwenye video hahahahahaha

le Mutuz
Huuu ujumbe nampelekea Mange sawa Le Mpumbuz, leo usiku angalia account yake ya instagram
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom