MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
- Thread starter
- #141
halafu mwaka huu gwiji hatujafanya anniversary,sijui kwann gwiji?- hahahahaha kazi juu ya kazi yaani bampa to bampa U know
le Mutuz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
halafu mwaka huu gwiji hatujafanya anniversary,sijui kwann gwiji?- hahahahaha kazi juu ya kazi yaani bampa to bampa U know
le Mutuz
Kwani hajajiunga?Ccm iwe na chama cha wazee ili huyu jamaa ajiunge
Ccm iwe na chama cha wazee ili huyu jamaa ajiunge
Aba miaka 66 anang'ang'ania uvccm kwa kupenda mademu huku hela hana,uongozi hapewiKwani hajajiunga?
Halafu kalichora chora au kashafuta[emoji23][emoji23][emoji23]Voxy imechoka kweli! Halafu Jamaa anaishi down town apartment!!
Halafu kalichora chora au kashafuta[emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi lemutuz na Mange mlitofautiana kitu gani maana imekuwa vita Kali na naona siku hizi hata Mange akiwa team kiba lemutuz team mond. Saizi Mange anamsapoti aslay hutamuona lemutuz akimsapoti aslay
Bado kalichora chora mijina yake! Mwili kama ule unafaa kutulia kwenye Benz,BMW,Audi,Nissan au VX!Halafu kalichora chora au kashafuta[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]- ni kweli it is about a choice kununua magari au kujenga studio ya Online TV na kutoa ajira kwa vijana 8 tayari, nikachangua kujenga studio hahahahahahaa and I am proud of it
le Mutuz
😀 😀 😀 😀Bado kalichora chora mijina yake! Mwili kama ule unafaa kutulia kwenye Benz,BMW,Audi,Nissan au VX!
unawalipa sh ngapi mkuu 35K au?- ni kweli it is about a choice kununua magari au kujenga studio ya Online TV na kutoa ajira kwa vijana 8 tayari, nikachangua kujenga studio hahahahahahaa and I am proud of it
le Mutuz
Kwa mara ya kwanza nime-quote replay yako[emoji23] [emoji23] [emoji23]- hahahahahahaa mbona unawataja wababe wa vita tena? hahahahahaha
le Mutuz
Nasra nae anakutia midole????- hahahahahahaha kwanza sijaaachana na Baby wangu Nasra, na pili hizo picha ni za miaka 3 iliyopita sijaonana na Hamisa toka Mwaka jana mara ya mwisho tulikutana Fish Market kabla hata hajawa mjamizto, sijamuona tena so guys mpuuzieni huyu jamaa na huu udaku!
le Mutuz
Kibali tu huyo dada kwenye page yake aliandika kuwa kakukimbia kwasababu ya kibamia anaenda mbele zaidi na kusema alifurahi akiwa na wewe bar au shopping lakini sio 6 by 6- Nilitoa nafasi kwa yoyote anayeamini huo upuuzi kama ni mwanamke aje au atume mke wake hakuna aliyejitokeza maana ndio tungekata mzizi wa fitina
le Mutuz
Tatizo ni umri 50+ na matendo anayoyafanya vitu viwili tofauti , kazi kushika nyonyo za mademu na kupiga nao pichaKwa nini watu hawapatani na Le mutuz?
Akionekana anapigwa maneno hatar tuambiane alichofanya
kwani hata nyumba hajajenga! atakuwa amejenga Mbeya ,Dodoma na Dar.Ukiniambia anaishi nyumba ya kupanga Dar basi hapo kutakuwa na shida! miaka yote hii Ughaibuni na wakati ule wa Mwinyi na Kikwete alivyokuwa karibu na hapo jikoni angeshajenga.utakuwa ni uzembe kweli kama bado!!hivi le mutuz ukifa utazikwa mbeya au dodoma?
Mkuu lifestyle lako ni bata 95%- hahahahahahaha kwanza sijaaachana na Baby wangu Nasra, na pili hizo picha ni za miaka 3 iliyopita sijaonana na Hamisa toka Mwaka jana mara ya mwisho tulikutana Fish Market kabla hata hajawa mjamizto, sijamuona tena so guys mpuuzieni huyu jamaa na huu udaku!
le Mutuz