Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OK. U know. U welcome- Yes hapa ni my home ndipo nilipoanzia kazi zangu zote za Social Media nilijifunzia hapa, this is my home hahahahaha U know
le Mutuz
Ukwasi??Mashabiki wa Lemutuz wamemtaka gwiji hilo la mitandao ya kijamii kuwa makini na mrembo Hamisa Mobeto hasa kutokana na tabia yake ya mrembo huyo kutegeshea mimba kwa watu wenye ukwasi kama Lemutuz,huku wakitegemea kupata Rav4 na milioni 5 ya matumizi.
Mashabiki kadhaa walimwambia Lemutuz kuwa makini na Hamisa hasa ikizingatiwa wawili hao kuwa pamoja baada ya Lemutuz kumwagwa na mrembo Nasra International huku Hamisa akimwaga Diamond.
![]()
![]()
mzee hukui??- hahahahahahaha kwanza sijaaachana na Baby wangu Nasra, na pili hizo picha ni za miaka 3 iliyopita sijaonana na Hamisa toka Mwaka jana mara ya mwisho tulikutana Fish Market kabla hata hajawa mjamizto, sijamuona tena so guys mpuuzieni huyu jamaa na huu udaku!
le Mutuz
Le mbebezzsuperbrand- hahahahahahaha kwanza sijaaachana na Baby wangu Nasra, na pili hizo picha ni za miaka 3 iliyopita sijaonana na Hamisa toka Mwaka jana mara ya mwisho tulikutana Fish Market kabla hata hajawa mjamizto, sijamuona tena so guys mpuuzieni huyu jamaa na huu udaku!
le Mutuz
Hahahahaa lemutuz jf kitambo sanaHeeee huyu baba (le mutuz) huwa yumo JF??
Dah so sad ilikuaje hii jebu nambie mkuu- Kwenye haya matusi unakosea sana maana sasa unamkumbusha Mange aliyofanyiwa marehemu Baba yake, imagine wewe mtu akukumbushe mabaya aliyofanyiwa baba yako ambaye ni marehemu?
le Mutuz
Sio mshua wa mange maana mkuu lemutuz anasema et mshua wa mange yalimkutaHeeee huyu baba (le mutuz) huwa yumo JF??
mkuu mbona mange na wewe picha haziend mda wote kinanuka nini hasa sababu kwa nini msikae mkaongea yakaisha nini sababu- Sawa ila ninasema cha msingi ni kulekezea hayo matusi kwa muhusika yaani Mange ambaye baba yake marehemu ndiye aliyefanyiwa na mashahidi wapo, au nakosea?
le Mutuz
- Nilitoa nafasi kwa yoyote anayeamini huo upuuzi kama ni mwanamke aje au atume mke wake hakuna aliyejitokeza maana ndio tungekata mzizi wa fitina
le Mutuz[/QUOT
yanii huamn kama huyu ni lemutuz wa instagram auMi siamini kama huyu ndo yule ntakua wa mwisho kuamini
Nimekuomba ata kujitolea kaka....umenichunia- Kwenye haya matusi unakosea sana maana sasa unamkumbusha Mange aliyofanyiwa marehemu Baba yake, imagine wewe mtu akukumbushe mabaya aliyofanyiwa baba yako ambaye ni marehemu?
le Mutuz
Sasa ww ata akikupa utafanya nini au ndio uziburiwe [emoji90] [emoji90]Utoto na wivu. Kutembelea Noah ndo Mtu ashindwe kumnunulia Mtu hata Porsche. Inategemea na Interests wewe na mimi hatuwezi kuzungumzia uwezo Wa mtu ambaye sie Sisi. So zip up. Afu na mtoa mada kumwagwa Au kumwaga we utajuaje. Ushoga ndo mana haushi. Kuingilia vitu tu havikuhusu mtaoelewa
Kweli mabox yalikuharibu sana bro u know- Yes hapa ni my home ndipo nilipoanzia kazi zangu zote za Social Media nilijifunzia hapa, this is my home hahahahaha U know
le Mutuz