Lemutuz aombwa kuwa makini na Hamisa Mobetto.

Lemutuz aombwa kuwa makini na Hamisa Mobetto.

Status
Not open for further replies.
Kumbe nawe unajua yule jamaa jina lake bashite hahahah ila akisimama kwa watu anajiita makonda [emoji23][emoji23][emoji23] mwambie kolomije tunamsalimia aje na misibani asiwe anakomea mjini tu anatuma watu

- Ok zimeshafikia page 10 kama kawaida yangu naomba kuretire hapa, maana kazi nyingi sana hapa Studio U know

le Mutuz
 
- Sijakuelewa kila wakati unapenda sana kunizushia uongo na majungu vipi wewe ni kaka wa my ex nini maana hao ndio wanahangaika kila siku kunitungia uongo uongo, WHY?

- Mbona kuna mambo mengi ya maana kwa jamii nayafanya huyasemi? Like now nimeshafungua my Online TV nimetoa ajira kwa vijana 8 toka mtaani, mbona usiandike mambo ya msingi kama haya?

le Mutuz
Naona umecoment like polepole.
 
- page yangu ina followers 500K huenda inaongoza kwa malipo ya matangazo, tatizo sio followers wengi ila ni quality na status ya wanaokufollow

le Mutuz
Mkuu kwenye suala la quality na status ya followers most of your followers are FOOLS and that's why ukiandika upuuzi mfano wa kumsifia Bashite wanakushangilia tu...!!
U don't have quality followers at all na ndio maana any broad and brave mind ikijitokeza na kuhoji chochote kwenye page yako unaiblock..!!
Kwasababu u don't want challenge.
Get to know ur IG page is equipped with fools.
U can't compare your IG page na ya Mange au Millard Ayo at all. Page za hawa zina watu wenye akili sana.
 
Wabongo Bwana sijui mpoje.Angekuwa anaendesha HAMMER mngesema aliiba hela za watanzania kupitia cheo cha Baba yake.AMEKUWA MZALENDO KWA KUJITAFUTIA KIDOGO KWA NGUVU ZAKE MWENYEWE MNAMTUKANA.RZ1 MMEMPIGIA KELELE SANA MKASEMA HELA KATOA WAPI.KIJANA WA LOWASA ANAFANYA BIASHARA, MAKAMBA WAZIRI, WA MWINYI WAZIRI,HUYU WA MALECELA AMECHAGUA Online TV na usafiri wake ni NOAH.sasa shida ipo wapi?
Watz watu waajabu sn
 
Humwezi wala huwezi kulingana nae umekaa ughaibuni maisha yamekushinda umerudi bongo unaanza kuwa mnusa makalio ua wanaume wenzako shame on u,..... sijui kwanini hata hawakuambii
Hivi yule kahaba mange anakitu gani chakumshinda huyu lemutuz?Acheni ushabiki maandazi nyie
 
Hana lolote.
UNA UHAKIKA HANA LOLOTE! HAO WANAOJIPENDEKEZA KUTAKA KUPIGA NAO PICHA JE!!!
dude mzizi.jpg
 
- Kwenye haya matusi unakosea sana maana sasa unamkumbusha Mange aliyofanyiwa marehemu Baba yake, imagine wewe mtu akukumbushe mabaya aliyofanyiwa baba yako ambaye ni marehemu?

le Mutuz

Mkuu sawa Mimi simuongelei Mange,

Nakuongelea wewe jinsi wanavyopekenyua hayo makota ili kuufikia mndukuzi,

Ila watu wana roho ngumu hiyo harufu wanayokutana nayo huko dah.

- hahahahahahaa mbona unawataja wababe wa vita tena? hahahahahaha

le Mutuz

Kwahiyo kumbe unamtambua bashite sio

- Sawa ila ninasema cha msingi ni kulekezea hayo matusi kwa muhusika yaani Mange ambaye baba yake marehemu ndiye aliyefanyiwa na mashahidi wapo, au nakosea?

le Mutuz

Mange hayupo hapa kwani yeye ndo chanzo cha kuchokonolewa?

View attachment 607034

Hii ndio kazi unayoweza hahahahahahah kweli wewe ni le mup........zzzz kupiga picha kwenye gari za wanaume
wenzako hahahahaha

Pitty

Uje na Kinoah chako upite Hapa Bamaga Nikupatie hata lita 5 za mafuta hahahahahahahahaha

Aisee

Hivi lemutuz na Mange mlitofautiana kitu gani maana imekuwa vita Kali na naona siku hizi hata Mange akiwa team kiba lemutuz team mond. Saizi Mange anamsapoti aslay hutamuona lemutuz akimsapoti aslay

Waliungana kwa zamaradi mketema tu

Hivi yule kahaba mange anakitu gani chakumshinda huyu lemutuz?Acheni ushabiki maandazi nyie

Kwanini unawafananisha?

Yule mwanamke huyu mwanaume
 
Mashabiki wa Lemutuz wamemtaka gwiji hilo la mitandao ya kijamii kuwa makini na mrembo Hamisa Mobeto hasa kutokana na tabia yake ya mrembo huyo kutegeshea mimba kwa watu wenye ukwasi kama Lemutuz,huku wakitegemea kupata Rav4 na milioni 5 ya matumizi.
Mashabiki kadhaa walimwambia Lemutuz kuwa makini na Hamisa hasa ikizingatiwa wawili hao kuwa pamoja baada ya Lemutuz kumwagwa na mrembo Nasra International huku Hamisa akimwaga Diamond.
images
images
Hiyo mimba itaingia wakati baba hasimamishi?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom