Decree Holder
JF-Expert Member
- Jul 19, 2015
- 2,559
- 3,745
Lakini pamoja na yote nimpongeze kwa kufungua online tv maana ni jambo la maendeleo mshauri na dada yako mange afungue basi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] jamaa anaweka kishoka kwny noah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ukimuona anavojaa kwny hilo gari dah[emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Bado kalichora chora mijina yake! Mwili kama ule unafaa kutulia kwenye Benz,BMW,Audi,Nissan au VX!
Jamaa wewe shida kwelii- Nilitoa nafasi kwa yoyote anayeamini huo upuuzi kama ni mwanamke aje au atume mke wake hakuna aliyejitokeza maana ndio tungekata mzizi wa fitina
le Mutuz
kumbe ni harmless sasa kwanini mnamuogopaTatizo ni umri 50+ na matendo anayoyafanya vitu viwili tofauti , kazi kushika nyonyo za mademu na kupiga nao picha
Post zako kuzitofautisha na mtoto wa chekechea inakuwa kazi kwelikweli- ananisaidia sana kupiga pesa na kunipa umaarufu ila hayo matusi yanamuhusu yaani alifanyiwa marehemu baba yake so elewa hilo kwanza
le Mutuz
Hua anajaa utazani lile shuka la mashineni,pindi unga unapoisha,lile shuka hua linapigwa na upepo![emoji23] [emoji23] [emoji23] jamaa anaweka kishoka kwny noah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ukimuona anavojaa kwny hilo gari dah[emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Utoto na wivu. Kutembelea Noah ndo Mtu ashindwe kumnunulia Mtu hata Porsche. Inategemea na Interests wewe na mimi hatuwezi kuzungumzia uwezo Wa mtu ambaye sie Sisi. So zip up. Afu na mtoa mada kumwagwa Au kumwaga we utajuaje. Ushoga ndo mana haushi. Kuingilia vitu tu havikuhusu mtaoelewa
Nasra nae anakutia midole????
Nadhani ni mtu anayeongoza kutukanwa mitandaoni. Instagram amepukutisha kwa block amebakia na watu wa uvccm wanaishia kulike comment utazikuta mbili moja.Brother Biggizzz uko juu! Pamoja na matusi ila unakomaa tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu lifestyle lako ni bata 95%
Muongo Mange alikunyima ulivyokua America- mimi nipo kibiashara zaidi kuliko maneno maneno ok
le Mutuz
Nadhani ni mtu anayeongoza kutukanwa mitandaoni. Instagram amepukutisha kwa block amebakia na watu wa uvccm wanaishia kulike comment utazikuta mbili moja.
Lakini Mimi niseme tu kama angewaacha wanaompinga na kumtukana page yake ingekuwa active sana watu wengine wanapenda kwenda kusoma comment za aina tofauti tofauti sasa kama comment zote ni ndiyo mzee and bigup nani ataenda huko labda awe mdaku kama dada yake mange. Mbona bashite anatukanwa kila aina ya matusi na hablock mtu mpaka watu wamechoka kutukana
JANANI HUYU JAMAA ANAUMRI GANI ?
Hivi huyu jamaa amekoswakoswa vipi na teuzi zote zile!!
Tukiingia vitani itabidi tumweke mstari wa mbele hata risasi zitamkosa!
umri sawa na kingunge seme huyu anaji krimu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]- hahahaha siwezi kuanzisha Online TV na kupigania vyeo tena hapana!
le Mutuz
Kumbe nawe unajua yule jamaa jina lake bashite hahahah ila akisimama kwa watu anajiita makonda [emoji23][emoji23][emoji23] mwambie kolomije tunamsalimia aje na misibani asiwe anakomea mjini tu anatuma watu- hahahahahahaa mbona unawataja wababe wa vita tena? hahahahahaha
le Mutuz