Lemutuz aombwa kuwa makini na Hamisa Mobetto.

Lemutuz aombwa kuwa makini na Hamisa Mobetto.

Status
Not open for further replies.
Lakini pamoja na yote nimpongeze kwa kufungua online tv maana ni jambo la maendeleo mshauri na dada yako mange afungue basi
 
Bado kalichora chora mijina yake! Mwili kama ule unafaa kutulia kwenye Benz,BMW,Audi,Nissan au VX!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] jamaa anaweka kishoka kwny noah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ukimuona anavojaa kwny hilo gari dah[emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
ina maana huwa anaishia kwenye picha tu!
Tatizo ni umri 50+ na matendo anayoyafanya vitu viwili tofauti , kazi kushika nyonyo za mademu na kupiga nao picha
kumbe ni harmless sasa kwanini mnamuogopa
 
- ananisaidia sana kupiga pesa na kunipa umaarufu ila hayo matusi yanamuhusu yaani alifanyiwa marehemu baba yake so elewa hilo kwanza

le Mutuz
Post zako kuzitofautisha na mtoto wa chekechea inakuwa kazi kwelikweli
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] jamaa anaweka kishoka kwny noah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ukimuona anavojaa kwny hilo gari dah[emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Hua anajaa utazani lile shuka la mashineni,pindi unga unapoisha,lile shuka hua linapigwa na upepo!
 
Utoto na wivu. Kutembelea Noah ndo Mtu ashindwe kumnunulia Mtu hata Porsche. Inategemea na Interests wewe na mimi hatuwezi kuzungumzia uwezo Wa mtu ambaye sie Sisi. So zip up. Afu na mtoa mada kumwagwa Au kumwaga we utajuaje. Ushoga ndo mana haushi. Kuingilia vitu tu havikuhusu mtaoelewa

Nini NOAH, mtu anapanda daladala lakini anahonga nyumba!! Le Mutuzz achana nao shughulika na SHUGHULI zako !!
 
Brother Biggizzz uko juu! Pamoja na matusi ila unakomaa tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Nadhani ni mtu anayeongoza kutukanwa mitandaoni. Instagram amepukutisha kwa block amebakia na watu wa uvccm wanaishia kulike comment utazikuta mbili moja.

Lakini Mimi niseme tu kama angewaacha wanaompinga na kumtukana page yake ingekuwa active sana watu wengine wanapenda kwenda kusoma comment za aina tofauti tofauti sasa kama comment zote ni ndiyo mzee and bigup nani ataenda huko labda awe mdaku kama dada yake mange. Mbona bashite anatukanwa kila aina ya matusi na hablock mtu mpaka watu wamechoka kutukana
 
Hivi huyu jamaa amekoswakoswa vipi na teuzi zote zile!!
Tukiingia vitani itabidi tumweke mstari wa mbele hata risasi zitamkosa!
 
Nadhani ni mtu anayeongoza kutukanwa mitandaoni. Instagram amepukutisha kwa block amebakia na watu wa uvccm wanaishia kulike comment utazikuta mbili moja.

Lakini Mimi niseme tu kama angewaacha wanaompinga na kumtukana page yake ingekuwa active sana watu wengine wanapenda kwenda kusoma comment za aina tofauti tofauti sasa kama comment zote ni ndiyo mzee and bigup nani ataenda huko labda awe mdaku kama dada yake mange. Mbona bashite anatukanwa kila aina ya matusi na hablock mtu mpaka watu wamechoka kutukana

- page yangu ina followers 500K huenda inaongoza kwa malipo ya matangazo, tatizo sio followers wengi ila ni quality na status ya wanaokufollow

le Mutuz
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom