mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Teh teh huyo tofauti sana na wakina mwele na ipi(rip)Huyu mzee wetu kiukweli ana tatizo kubwa. Ubaya ni kwamba hakubali kwamba ana tatizo na ubaya zaidi kujiona ana akili kuliko watu wote. Stress aliyo nayo ni ya dunia nzima. Haiingii akilini kabisa kupost kila siku umelala na mwanamke fulani. Pia ni mwongo hakuna mfano... aliandaa semina mwaka huu 2014 iliyokuwa sponsored na azam na makampuni mengine ila vijana tulipiga miayo kuanzia asbh hadi jioni bilabila. Lemutuz anatuambia tusubiri watu wa catering wanaleta misosi. Muda wa kutoka Davis Mosha akatoa 5000 kwa kila kijana. Na kwa age yake imeshakuwa too late kumrekebisha. Aachwe tu aishi anavyoona ili mradi hakuna sheria ya nchi anayovunja.
Ngoja tuishie hapa
Ova