MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Kuteleza sio kuanguka, baada ya Lemutuz mara kadhaa kula hela za michango ya harusi yake kwa bahati mbaya hatimaye gwiji la mitandao ya kijamii ukanda huu wa maziwa makuu limefanikiwa kuvuta jiko, mtoto guu guu, super mtindi yaani Kardashian huyu hapa.
Ndoa hiyo iliyofanyika downtown Bongo ilikuwa ya watu wachache sana ambayo ilifuatiwa na sherehe fupi , baadae maharusi waliingia ndani ya Noah ya Lemutuz kuelekea hotelini kwenye fungate.
Bibi harusi inatajwa pamoja na mambo mengine inawezekana akachukua nafasi ya juu ya utendaji katika moja ya makampuni makubwa yanayomilikiwa na gwiji hilo, huku wadadisi wa mambo wakidai huenda akawa mkurugenzi mtendaji wa chombo kikubwa cha habari hapa nchini yaani BLOGU YA WANANCHI.
Pita hapa chini kutoa neno la pongezi kwa maharusi hawa.