Lemutuz kavuta jiko, mtoto mkali yaani Kim Kardashian huyu hapa kabisa

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Kuteleza sio kuanguka, baada ya Lemutuz mara kadhaa kula hela za michango ya harusi yake kwa bahati mbaya hatimaye gwiji la mitandao ya kijamii ukanda huu wa maziwa makuu limefanikiwa kuvuta jiko, mtoto guu guu, super mtindi yaani Kardashian huyu hapa.
Ndoa hiyo iliyofanyika downtown Bongo ilikuwa ya watu wachache sana ambayo ilifuatiwa na sherehe fupi , baadae maharusi waliingia ndani ya Noah ya Lemutuz kuelekea hotelini kwenye fungate.
Bibi harusi inatajwa pamoja na mambo mengine inawezekana akachukua nafasi ya juu ya utendaji katika moja ya makampuni makubwa yanayomilikiwa na gwiji hilo, huku wadadisi wa mambo wakidai huenda akawa mkurugenzi mtendaji wa chombo kikubwa cha habari hapa nchini yaani BLOGU YA WANANCHI.


Pita hapa chini kutoa neno la pongezi kwa maharusi hawa.
 
Ye mwenyewe jiko sa itakuaje
 
Kumbe lemutuz ana king'amuzi usoni. Au ni tabu za uzee? Maana kukaribia 70yrs siyo lelemama
 
Lemutuz pamoja na kuwa na baba mwenye uwezo alipoteza muda wake ughaibuni na kurejea akiwa hana lolote wala lolote. Ama kweli kuna kipindi simba anaweza kuzaa mbwa! Kwa umri huu na mtoto mdogo ambaye ni umri wa binti yake atapata nini zaidi ya presha? Somo ni kwamba kuna haja ya kusoma alama za nyakati.
 
Sasa lemutuz uzee +kiba100 itakuwaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…