Lemutuz kavuta jiko, mtoto mkali yaani Kim Kardashian huyu hapa kabisa

Sasa je?! Kwani wenye vibamia nani kakwambia hatupati wenzetu wenye naniiono ndogo?!
Kila mwanaume na mwanamke wana nafasi wenzi wao duniani👏🤙👉👌🙌🙏
 
Kinachoshangaza ni namna vijana wa kiume wanapoyazungumzia maumbile ya mwanaume mwenzao.......??

How come mtoto wa kiume unakuwa concerned na maumbile ya mwanaume mwenzio.....hayo yalitakiwa yajadiliwe na watoto wa kike......
Mtu yoyote akigundua iko ndo kinakukasrisha lazima azungumzie
 
hahaha, yani ulivyo muandika, ni kama huge media personality kama Kusaga hivi, hehehehe ila sasa ulivymalizia "..maarusi waliingia kwenye noah.." ndio habari ikawa habari
 
Mtu yoyote akigundua iko ndo kinakukasrisha lazima azungumzie
Ndio....lakini ingetegemewa utani kama huo utoke kwa mwanamke kwenda kwa mwanaume....na sio kinyume chake......ikiwa kinyume chake inazua maswali mengi....
 
presha ya nini?
 
 
Lemutuz hela za mama unaharibu sana.
 
Hongera kwake

Mola amjaalie Aache utoto sasa.... Maana kuwa na miaka 64 na kufanikiwa kuoa tena sio mchezo
 
Babu bado mgonjwa huyo dada kaenda msalimia hapo
 
Akija atawaambia vijana pigeni kazi...u know...hizi rangi adimu u know...nothing personal, just saying U know....and this case is closed....imeisha iyo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…