yah bado yupo alikuwa waziri mkuu wakati wa nyerere,baba yake alitembea na mfanyakazi wa ndani ndo akazaliwa yeye kwa kifupi yeye ni mtoto wa nje ya ndoa,mama yake alikuwa beki tatu wa waziri mkuu alikuwa na msabwanda wa kufa mtu kafariki nowBaba yake yupo?
hahahahaha u know I am humble kuona watu wengi wamenililia kwenye msiba wangu guys I love itapost picha za mazishi yake alafu ataanza kulalamika mboga kuna rafiki yake flani hajaja msibani
Na atakufa hajaishi kwenye hayo mapagale yake yani pale kachimbia hela chini tuJamaa ana Mapagale yake mawili ya kawaida kutwa kujiita baba mwenye nyumba,hivi angekuwa na jumba kama la Lugumi moja si Dunia nzimba ingejua kwa mapromo? Nyumba zenyewe hata finishing hajafanya!!
Pole sana kijana, get well soonKatika account yake ya instagram amethibitisha kuwa ni mgonjwa kutokana na matumizi makali ya AC na kufanya kazi bila kupumzika you know
View attachment 1083250
Hongera mkuu...sisi wakulima sijui lini tutapata ofisi zenye eya kondisheniAfya yake migogoro...
Watu tuna kaa kwenye AC zaidi ya masaa 16 kila siku na hatujawahi umwa kwa sababu hiyo...
Atakua ana matatizo ya moyo...
Cc: mahondaw
yah bado yupo alikuwa waziri mkuu wakati wa nyerere,baba yake alitembea na mfanyakazi wa ndani ndo akazaliwa yeye kwa kifupi yeye ni mtoto wa nje ya ndoa,mama yake alikuwa beki tatu wa waziri mkuu alikuwa na msabwanda wa kufa mtu kafariki now
Wana umri sawa wamecheza wote utotoniHuyu na akina JK hawajapishana zaidi ya miaka 10
Lemutuz ana PHD ya kukaa majuu a.k.a mamtoni a.k.a Amerika miaka 30, akarudi na Laptop na nguo alizovaa tu.Hata huyu le mutuz dada zake wamefanikiwa kweli kuna mmoja ana PHD mwingine Jaji nazani huyu tu ndio mzee alipata hasara alikataa shule akawa anajifanya ni mission town mpaka leo hajatoboa na miaka yake 65 jamaa ana mvi kama lowasa ndio mana ananyoa nywele aonekane kijana
Ahsante...
Ila siyo big deal AC siku hizi, hata wewe unaweza weka kwako, kuna zile ndogo za kusimama.. kuna hizi split unit za ukutani...
Cc: mahondaw
baba yake umri ushaenda saa hzi nahisi takuwa na miaka 90 kitu kama sikosei au 80 na kitu,hata haya mambo ya social network hayajui kama mwanae anatuma ujinga huu,kipindi cha JK alitaka kumpa wilaya ya Kinondoni ili amwenzi mzee wake watu wakamshauri akampa MkondaSasa baba ake anashuhudia huu upuuzi wa mwanae. Au anavumilia coz alimzaa kwa bek 3 wake
ha ha ha ha ha ha ha alikua homeless kule alikua anaendesha gari la takataka akawa analala humo humoLemutuz ana PHD ya kukaa majuu a.k.a mamtoni a.k.a Amerika miaka 30, akarudi na Laptop na nguo alizovaa tu.
Mimi auYou have unfinished work you know[emoji23]
Hivi kiburi cha kutofanya kazi yangu, nikupe adhabu gani?
Yaani ulishasahau kazi nilokutuma?Mimi au
Tell me
Apunguze unene.Katika account yake ya instagram amethibitisha kuwa ni mgonjwa kutokana na matumizi makali ya AC na kufanya kazi bila kupumzika you know
View attachment 1083250