mahingah
Senior Member
- Oct 4, 2016
- 198
- 275
yah bado yupo alikuwa waziri mkuu wakati wa nyerere,baba yake alitembea na mfanyakazi wa ndani ndo akazaliwa yeye kwa kifupi yeye ni mtoto wa nje ya ndoa,mama yake alikuwa beki tatu wa waziri mkuu alikuwa na msabwanda wa kufa mtu kafariki nowBaba yake yupo?