Ngoja nikaangalie!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Halafu alinifollow sijui ameni unfollow?!
Shida ame waste the valuable time ya maisha yake ulaya alitarajia makubwa sana alivyoenda ulaya bahati mbaya alienda akiwa hana elimu akaishia kuishi homeless mtaani huku anaendesha gari la takataka kwa muda wa miaka 30 hakuwai ku enjoy maisha sasa kaja kukumbuka shuka kumekucha alafu analudi nchini anakuta age mate wake wametoboa ile mbaya. Sasa saizi anajitahidi kulipiza maisha aliyoyakosa bad enough aliludi na dola 500 kama milioni hivi na kibegi chake akafikia home kwao imagine mtu ana miaka 60 bado anakaa nyumbani ha ha ha ha ha ha asubui mzee malechela anamtuma vocha na mkate kwa mangi[emoji23] [emoji23] [emoji23] Huyu jamaa ni mshamba
Bit late jamani [emoji31][emoji31]Good!! Fanya kazi kama nilivyokutuma.
You will be paid handsomely[emoji23][emoji23][emoji23]
Uliweza kut*mb* hapo, sio kuturushia mapicha tuHahahahaahhahahahahahaha
Juzi hiyo tafuteni hela jamani acheni kelele mazafanzaz hahahahahaha, na mtoto mkali five star hotel ni makelelez yani full kimya hamna wauza mapanga huku wala wauza viatu yani full batazz hahahahhahaha
- Lemutuz
View attachment 1083296
Hahahahaha Gedemitz walahi hahahahahaha nafwaaaaaaz hahahahahahahahaha jamani acheni majungu fanyeni kazi hahahahahaIla mzee baba huyo kiukweli anapenda sana AC..kuna siku nilibahatika kufika ofisini kwake ..jamaa kafungua AC utadhani huko nnje miale ya jua imulika moja kwa moja toka juu..yani kaifungua baridi sijui la wapi huko linanafuu
Sema "huyu kubwa jinga" na siyo mzee!Yaani huyu jamaa ni limbukeni. Halafu limbukeni tena.
dinner at the five star hotel.....dhumuni lake ni nini?Katika account yake ya instagram amethibitisha kuwa ni mgonjwa kutokana na matumizi makali ya AC na kufanya kazi bila kupumzika you know
View attachment 1083250
HAHAHAHAHAHAHA!dinner at the five star hotel.....dhumuni lake ni nini?
Yaani Jamaa ni Kubwa jinga,yaani lina miaka zaidi ya 60 lakini bado anapanga,mapagale yake kasindwa kumaliza,amaekaa nje ya TZ zaidi ya miaka 30 lakini kashindwa kujenga hata kaghorofa kamoja.Na atakufa hajaishi kwenye hayo mapagale yake yani pale kachimbia hela chini tu
Shida ame waste the valuable time ya maisha yake ulaya alitarajia makubwa sana alivyoenda ulaya bahati mbaya alienda akiwa hana elimu akaishia kuishi homeless mtaani huku anaendesha gari la takataka kwa muda wa miaka 30 hakuwai ku enjoy maisha sasa kaja kukumbuka shuka kumekucha alafu analudi nchini anakuta age mate wake wametoboa ile mbaya. Sasa saizi anajitahidi kulipiza maisha aliyoyakosa bad enough aliludi na dola 500 kama milioni hivi na kibegi chake akafikia home kwao imagine mtu ana miaka 60 bado anakaa nyumbani ha ha ha ha ha ha asubui mzee malechela anamtuma vocha na mkate kwa mangi
Anaiaibisha sana family ya mzee malecelaHasara kwa wazazi wake.