Lemutuz Mobimba ni Mgonjwa tumuombee!

Lemutuz Mobimba ni Mgonjwa tumuombee!

Status
Not open for further replies.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Huyu jamaa ni mshamba
Shida ame waste the valuable time ya maisha yake ulaya alitarajia makubwa sana alivyoenda ulaya bahati mbaya alienda akiwa hana elimu akaishia kuishi homeless mtaani huku anaendesha gari la takataka kwa muda wa miaka 30 hakuwai ku enjoy maisha sasa kaja kukumbuka shuka kumekucha alafu analudi nchini anakuta age mate wake wametoboa ile mbaya. Sasa saizi anajitahidi kulipiza maisha aliyoyakosa bad enough aliludi na dola 500 kama milioni hivi na kibegi chake akafikia home kwao imagine mtu ana miaka 60 bado anakaa nyumbani ha ha ha ha ha ha asubui mzee malechela anamtuma vocha na mkate kwa mangi
 
Ila mzee baba huyo kiukweli anapenda sana AC..kuna siku nilibahatika kufika ofisini kwake ..jamaa kafungua AC utadhani huko nnje miale ya jua imulika moja kwa moja toka juu..yani kaifungua baridi sijui la wapi huko linanafuu
Hahahahaha Gedemitz walahi hahahahahaha nafwaaaaaaz hahahahahahahahaha jamani acheni majungu fanyeni kazi hahahahaha

- Lemutuz
 
IMG_20190428_213158_209.jpeg
 
Na atakufa hajaishi kwenye hayo mapagale yake yani pale kachimbia hela chini tu
Yaani Jamaa ni Kubwa jinga,yaani lina miaka zaidi ya 60 lakini bado anapanga,mapagale yake kasindwa kumaliza,amaekaa nje ya TZ zaidi ya miaka 30 lakini kashindwa kujenga hata kaghorofa kamoja.
 
Fedhea sana mtu mzima kama huyu ni anajiaibisha sana

Back
Top Bottom