Lemutuz vs his Diaspora wife

Status
Not open for further replies.
Huenda kweli ikawa inatafutwa kik ila jaman kwann alimsambu mama take kiivyo?;iyo nyumba alotolewa mma no aibu. Ajifunzw kwan yy kuish kwenye apartment ya laki tatu a fu mama atokee kwenye banda sio sahihi
 
Msg yako imeniumiza sana,kweli huu uzi wautoe,kwa mtu mwenye akili hapa utagundua huyu mwanamke ndo alikua lekubwa jingazi, huwez kuzarau mzazi wa mzazi mwenzi kiasi hiki.pole jombaa
Hizi social network zimetufanya kujiona miungu...inasikitisha sana.mama wa mwenzio ni mama yako. Bora ufanye chochote lakini sio kumtukana mama. Asante kwa kuliona hili mdau.
Hawa JF sijui vipi, huu uzi hata haustahili kuwepo hadi leo.sijui wafikiri nini.mimi mnipe BAN tu leo tena nitafurahi.Huu UZI ONDOENI NYIE ADMINI...AU MPAKA MTUKANIWE MAMA ZENU ?? MNABOAAAAAA
 
Kinacho msaidia huyu jamaa ni knoweledge ya ubaharia,na ndio maana anaweza kuwapuuzia watu wapumbavu,Hujasafiri na meli 40 days baharini kutoka ulaya kuelekea bara la africa huongei na mtu huna simu, huoni mji wala msitu majanga yote yako usiku na mchana vimbunga mawimbi hulali kula kwa timing ukifanya kazi ya ubaharia mwaka mmoja tu ukirudi mtaani ume change kama ulikuwa mbea mnafiki utaacha bila kujua umeachaje hizo tabia utakuwa ni mtu wa ku ignore watu kirahisi sana muacheni baharia ajiachie masister du kazi mdomo tu.
 
Pole sana Le Mutuz kwa msiba huu mzito wa mama, watu wanaomkejeli mtu kwenye msiba hayajawahi kuwapata haya.. Ila na huu ugomvi wao na ex wake umevuka mipaka kwa nini hauishi?? Nafikiri na huyu ex mke wa le mutuz alikua ni tatizo na jipu kubwa sana kwenye ndoa yao.. She was a waste of space, sio mwanamke wa kuoa huyo .. Pole le mutuz uliingia choo cha kike.
 
Huenda kweli ikawa inatafutwa kik ila jaman kwann alimsambu mama take kiivyo?;iyo nyumba alotolewa mma no aibu. Ajifunzw kwan yy kuish kwenye apartment ya laki tatu a fu mama atokee kwenye banda sio sahihi

Aibu iko wapi hapo?

Mbona ndo hali halisi ya Watanzania walio wengi?

Nini la ajabu hapo?

Halafu watu mnahukumu bila hata kujua undani wa mambo!

Au mnajua?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…