Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
inywe byababita?Bojo Kazilo.... Teh teh!
Hizi social network zimetufanya kujiona miungu...inasikitisha sana.mama wa mwenzio ni mama yako. Bora ufanye chochote lakini sio kumtukana mama. Asante kwa kuliona hili mdau.Msg yako imeniumiza sana,kweli huu uzi wautoe,kwa mtu mwenye akili hapa utagundua huyu mwanamke ndo alikua lekubwa jingazi, huwez kuzarau mzazi wa mzazi mwenzi kiasi hiki.pole jombaa
Huenda kweli ikawa inatafutwa kik ila jaman kwann alimsambu mama take kiivyo?;iyo nyumba alotolewa mma no aibu. Ajifunzw kwan yy kuish kwenye apartment ya laki tatu a fu mama atokee kwenye banda sio sahihi