Lemutuz vs his Diaspora wife

Lemutuz vs his Diaspora wife

Status
Not open for further replies.

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Vita kati ya Mfalme wa Mitandao yote ya Kijamii Tanzania, Lemutuz dhidi ya mkewe (mtalaka?) ambaye anaishi huko New York City, USA,ime fikia pabaya :

"Le mutuz au baba leona na Agapeo, mzee wa misifa, mpigwa kibuti na neema ngululupi, mzee wa misifa, kuwadi na kaka mtamu uliyejificha salam kaka ama baada ya salam ile michango ya kumuuguza yule kichaa wako pale tunduma uliyopewa na mabilionea umsitiri yule kikongwe na kibaridi na atleast umnunulie nguo lakini umeshindwa badala yake umemaliza pesa zote kwenye kula tu na kale ka kibanda kako vilevile tu na yule mama lemutuz bado anashindia matambara ya deki ambako kwa kina neema hata mbwa havai, kama kweli umeitengeza ile nyumba tunaomba upige picha japo kidogo watu waone na ukishindwa mimi nitatuma watu waipige picha kile kibanda matope chenu na jinsi yule mama alivyo vaa nguo za kifukara ili watu waone masifa yako ya kijinga kumbe hauna lolote mtu mzima ovyo kuishi mjini kwa kuwasifia matajiri tu haha, na kwa taarifa yako hawa wake wa matajiri unaowakuwadia wanakufanyia mpango utafutiwe watu wakule mtungo au wakubake vizuri na mapicha juu ili iwe funzo uache kuharibu ndoa za watu dume zima ovyo, huoni aibu unamkuwadia hadi katoto kadogo kama lulu halafu bado unakwenda kula pilau kwa mke wa seki, ndio maana mke wa Davis kakupiga marufuku kwenda nyumbani kwake na pale bureau de change kwa ukuwadi wako, juzi umekwenda pale container mikocheni watoto wanakucheka hadi unataka kupiga picha na dada yake Radhia yule Rabia akakutolea nje kwa sababu kaogopa kwenda kuuzwa, umeshindwa kuka hadi umesubiri Ridhiwani aje akununulie kuku na kwa uchoyo ukaenda kula pembeni haha, mtoto Ridhiwani anaendeshwa na driver ndani ya v8 wewe babu zima na degree tatu za uongo hata english ya maana huijui unatembelea daladala le noah halafu bado unajisifu, eti una nyumba na shamba kinyerezi mshukuru mama neema kwenda kulinunua kijumba zaidi ya miaka 20 hakiishi tu na masifa yote hadi unakaa kwenye kijumba cha ndege cha msajili kodi sh elfu 50000 kwa mwezi na bado unajisifu, haki kaofisi unachojisifu nacho ni kichochoro tu ulichopewa kwa muda ujishikize na kodi hulipi na mchechu sababu ya conection ya baba yako na bado unapiga kelele haha.Kama unataka nieendelee kukuchamba baba Leona useme babu jinga."

"Huyu baba Leona au lemutuz ana matatizo sana kufikiria vitu ambavyo havipo hasa vikiwa vya ukweli, unafikiri neema na u busy wote pale UN atakuwa na time na kubishana na mtu aliyempiga kibuti mwenyewe jamani, mtu ambaye miaka zaidi ya 25 ya maidha yake US alikuwa ni mfanyakazi wa gari la taka haha, mtu ambaye baada ya kuchoka kulazwa kwenye sofa sitting room ndio akaamua kukimbilia kwenye kiservant quarter cha baba yake pale seaview haha, mtu ambaye baada ya miaka 3o ya kukaa ulaya bado anakaa kwenye kijumba cha msajili cha chumba kimoja na kodi haizidi hata sh50000 haha, kwa taarifa yako lemutuz mimi naishi hapa hapa bongo na ni mtu wa karibu yako sana ila najua mambo yako mengi personal na wala sina uhusiano wa kindugu na xwife wako so acha kumpakazia uongo, kama Neema unamuita kibibi cha miaka hamsini na wrwe na yeye umempita miaka kumi inamaana kwa simple mathematics tayari umegota 60yrs haha, unakumbuka ulianza kupanda meli za sinota kuanzia 1970 na kitu ambapo ulikuwa na zaidi ya miaka 20 inaonyesha jinsi gani ulivyokuwa kikongwe haha, na kukuthibitishia nakujua vizuri unakumbuka ulivyogombana na wachina melini hadi wakataka kukushusha Singapore lakini wasingapore wakawakatalia wachina ukaenda kushushwa Thailand na ukaleta vurugu hadi wakakulipa pesa zako haha bisha kama ni uongo nilete mambo mengine.

Neema anaenjoy life New york ndani ya UN na huku watoto wakimuita yeye ndio baba na mama yao kwa jinsi wanavyompenda na kuweza kumpeleka Agapeo college bila msaada wako wewe kazi kubishana tu na watoto, unakumbuka watoto walivyokukataa walivyokuja bongo hadi ujalia kwenye gari lako pale ukonga haha na bado watakuliza sana sababu wameshakutoa kwenye maisha yao, bora uoe tu machangudoa yako ya escape one wakuzalie watoto wa uzeeni kama mengi haha, siku hizi hao masuper billionaires wako hawakualiki majumbani mwao sababu washatambua kama wewe kuwadi number moja wa wanaume zao kama mke wa Davis mosha asivyokupenda na kwake kakupiga marufuku kukanyaga basi hata mke wa chicago pia hakupendi pamoja na wa marehem seki ambaye ndio anaongoza kwa kukulaumu kwa wewe kumkuwadia mune wake kwa lulu haha, kuwa makini hawa wake za watu ni watoto wa mjini na wana hela chafu so sasa wanaorganize watu wa kukupiga mtungo ili iwe fundisho kwa babu mzee kama wewe kuliwa tigo na vijana wadogo itakuwa aibu yako ya milelele haha babu pole yako utasutwa na majivu."

Majibu ya Le Mutuzz

..."Well I wish ningeweza kumsaidia na maumivu aliyonayo ila sina cha kumsaidia, I have moved on niliachana naye Miaka 4 iliyopita nilishamsahau nashangaa bado anahangaika na mimi mpaka leo I mean ni fundisho kwa Wanawake wengine kwamba ukiwa na Mwanaume anayekufaa tulia ama sivyo utaishia kuwa kama huyu mama namuonea huruma sana maana haya maneno yametoka kwa mtu ambaye amekufa ila anatembea hahahahahaha, mimi nipo bongo naendelea na maisha yangu si unaniona bwana muandishi huyu mama anahitaji maombi U know"- alimalizia Le Mutuz Nation
 
IMG-20150119-WA0049.jpg
 
Le Baharia huyu mmama hamuwezi, Le maisha kama yamemshinda huko USA, aje tu hapa afungue visaloon vya nguo kama umri mkubwa atafute wazee wenzie, agojee kifo tu, kuliko kushindana na matusi mtandaoni wanaharibu watoto wao, yaani wajukuu wa mama Kirangao na Le Jumanne
 
huyo ndo le baharia wanaomchamba wana mioyo mi nawaona kama wanapigana na ukuta tu

Bora mara mia uchambe mtu apaniki hapo utapata raha moyonii lakini unachamba mtu anakuignore utajiona matapishi bora kuacha tu hhhhhha
 
Bora mara mia uchambe mtu apaniki hapo utapata raha moyonii lakini unachamba mtu anakuignore utajiona matapishi bora kuacha tu hhhhhha
ha ha ha yan mi nawashangaa hao kina dougiemasta et wanachambana na le baharia wakate mwenyewe hata hajali lol
 
Binafsi namkubali sana Lemutuz, pengine ni kati watanzania wachache sana ambao wapo tayari kuonyesha hisia zao halisi bila kujali jamii itamchukulia vipi.

Laiti watanzania wengi tungekua wawazi kama wewe pengine nchi hii ingepiga hatua moja mbele.
 
- Huwa nawaza pesa ndio maana leo nimesaini mkataba mpya na AccessBank na kesho naenda kusaiini mkataba mpya na Movers wanaosimamia kumbi mpya wa kimataifa pale Millenium Towers so haya makelele ni good for me and my business

Le Mutuz

Hahahahaaa na tarehe moja tunakutana mliman city kwa zarina u know!!hawa gadem mburulas watakufwaaaaa....😀
 
- Huwa nawaza pesa ndio maana leo nimesaini mkataba mpya na AccessBank na kesho naenda kusaiini mkataba mpya na Movers wanaosimamia kumbi mpya wa kimataifa pale Millenium Towers so haya makelele ni good for me and my business

Le Mutuz
le mutuz, na Mimi nilifurahi, nilivyokuona "live" kwenye mnada wa USA embassy na ki printed Noah yako.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom