Lemutuz vs his Diaspora wife

Lemutuz vs his Diaspora wife

Status
Not open for further replies.
Jamani hata kama kunatokea kugombana huwezi kumwita mama wa mwenzako"kichaa"!!!ugomvi ni kati ya nyie wawili hamuwezi ingiza innocent people.nadhani hata wewe unamama pia na unajua hakuna kitu kibaya kama kudharau au kuwatukana wazazi wetu au wa wenzetu.unaoneka uko hasira na le mutuz sana na haisaidiii kumtukana mama yake.unaongea kama umejizaa mwenyewe.au wewe mwenzetu humthamini mama yako?maanake ungekua unamthamini usingeharisha kiasi hicho.Mwacheni mama wa watu alale mahali pema.kama kugombana msimuhusishe yeye.imeniuma kama ni mama angu vile.Kwanza mtu yeyote mwenye akili hawezi weka ugomvi wa familia kwenye social network.ADMIN....ONDOENI HUU UZI HUU SIO USTAARABU.WANGEKUA MAMA ZENU AU NDUGU ZENU MNGEUACHA???

POLE LE MUTUZ KWA KUFIWA NA MAMA YAKO.
 
@tanm
Huyu Mzee ana mambo kweli.
TANMO nimepitia huu Uzi kwasabb tu ya kitu nilichokumbuka. Leo lLe Mutuz aje akane maneno haya ya NEema alimwita kuwa in maiti inayotembea. Jaman imerushwa pixha ya msiba was mama take Le Mutuz ni aibu. Banda aloingizwa Hugo mama MTU unajiuliza ivi ni kwa tambo zile alizokuwa nazobhuyu baba mwanaisha?:ni aibu jaman ajifunze
 
Jamani hata kama kunatokea kugombana huwezi kumwita mama wa mwenzako"kichaa"!!!ugomvi ni kati ya nyie wawili hamuwezi ingiza innocent people.nadhani hata wewe unamama pia na unajua hakuna kitu kibaya kama kudharau au kuwatukana wazazi wetu au wa wenzetu.unaoneka uko hasira na le mutuz sana na haisaidiii kumtukana mama yake.unaongea kama umejizaa mwenyewe.au wewe mwenzetu humthamini mama yako?maanake ungekua unamthamini usingeharisha kiasi hicho.Mwacheni mama wa watu alale mahali pema.kama kugombana msimuhusishe yeye.imeniuma kama ni mama angu vile.Kwanza mtu yeyote mwenye akili hawezi weka ugomvi wa familia kwenye social network.ADMIN....ONDOENI HUU UZI HUU SIO USTAARABU.WANGEKUA MAMA ZENU AU NDUGU ZENU MNGEUACHA???

POLE LE MUTUZ KWA KUFIWA NA MAMA YAKO.
Msg yako imeniumiza sana,kweli huu uzi wautoe,kwa mtu mwenye akili hapa utagundua huyu mwanamke ndo alikua lekubwa jingazi, huwez kuzarau mzazi wa mzazi mwenzi kiasi hiki.pole jombaa
 
Naona LEMUTUZ ...kawapa haters cha kuongea.......yaani na ufahari wake wote hapa mjini ...kweli Mama yake kumbe walk hakuwa na nyumba ya kuishi......kweli Mama !!!!

MASIKINI tazama chumba anachoingizwa mara ya mwisho.....loo this is not fair Kabisa ....
Huko Instagram hakufai..

c2283c0939072eb5d17ac340615a49ce.jpg
ba3a080524ad6c9f2939ea45edc95fe4.jpg
8401129c9790964b2593c995ec72ee41.jpg
5bdadfd158f0951da8e98d4d31141589.jpg
e8dc7e10717ee51d398a8780c14d4542.jpg
Jamani [emoji24]
 
kw hili hata waziri mkuu mstaafu hakufanya fair sio kosa la le mutuz tu.. so pitfall
 
- Maisha ya Majuu yalinifundisha kukaa kwenye apartment, ningetaka kwa hela zote nilizotumia kukarabati Apartment ninayoishi sasa hivi ningezitumia kumalizia nyumba yangu Kinyerezi nikaishi kule na hata kama ningekuwa na shida ya kuishi kwenye nyumba ningehamia kule au ningeenedelea kushi nyumba ya baba yangu, hapa mjini ninapoishi ninaishi karibu na watu wengi wenye pesa kubwa hapa mjini wasiopenda kuishi nje ya mji,

- Eti ninakaa kwenye kiota? are serious au unatania 3 bedroom apartment inayouzwa Dola za Marekani Laki tatu unasema ni kiota na kwenye jengo jipya kama ninaloishi hapa town, please hahahahahahah

Le Mutuz

Rip mama le mutuz.
 
Kama binadamu Le mutuz anaweza kuwa na makosa yake kwenye maisha yake.Sijui nani hapa hajawahi kufanya kosa lolote kwenye maisha yake.Tusitumie hizi identities zisizojulikana kujifanya sisi ni watakatifu sana.Pengine wengi wa wanaomsema baba Agape hapa hawafanyi chochote kurekrbisha hali za majumbani kwao na wapo hapa wanamshupalia Willy kwakuwa tu yeye anajulikana.

Na hapa huu ni msiba.Mwenzetu amempoteza mama yake mzazi.Lakini angle waliyoichagua watu kuijadili ni moja tu.Mtu ambaye hana taarifa kamili na akaja hapa kusoma comments anaweza kufikiria kuwa huyu Willy amemnyonga mama yake mzazi.Ndiyo maana hata hapewi pole watu wanamlaani tu.Binafsi nimetofautiana na Le mutuz kwenye masuala mengi mbalimbali lakini sioni kama ni haki kuutumia msiba wa mama yake kujithibitishia ubingwa dhidi yake kuwe yeye ni hafai kabisa.

Jiweke kwenye viatu vyake kisha pima maumivu anayoongezewa huyu mtu kwenye wakati huu mgumu kwake.Tumpe pole Le mutuz kwa kufiwa na mama yake jamani hayo mengine ni yeye na Mungu wake.

Mods huyu jamaa ni mshikaji wenu ambaye mmekuwa nae kwenye harakati mbalimbali huko nyuma.Hata kama badae mlitofautiana hamuoni hata vema kuanzisha uzi maalum wapole za JF kwa le mutuz kweli?

Apumzike kwa amani mama Willy.Pole sana William Malecela na wote walioguswa na msiba huu
 
daah kweli braza, watu wanatafuta kiki kupitia kwa le mutuz
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom