Haiku JF-Expert Member Joined Mar 31, 2018 Posts 2,915 Reaction score 2,050 Dec 7, 2023 #61 Kazi ipo.
Ego is the Enemy JF-Expert Member Joined Mar 21, 2014 Posts 8,201 Reaction score 16,246 Dec 7, 2023 #62 Anita Makirita said: Ukiolewa na mtu wa hivyo ni kama hujaolewa,mtu ambae hatambui commitment anaku fulfil vipi sasa,,,,,unajisikiaje kukaa na mtu ambae saa yoyote anaenda kwa mtu mwingine?...kwa kweli wanayaweza... Click to expand... Kwani wao si wameongea ukweli kwani hakunaa kukinai amaa unadhani wewe Mars planet
Anita Makirita said: Ukiolewa na mtu wa hivyo ni kama hujaolewa,mtu ambae hatambui commitment anaku fulfil vipi sasa,,,,,unajisikiaje kukaa na mtu ambae saa yoyote anaenda kwa mtu mwingine?...kwa kweli wanayaweza... Click to expand... Kwani wao si wameongea ukweli kwani hakunaa kukinai amaa unadhani wewe Mars planet
mshamba_hachekwi JF-Expert Member Joined Mar 3, 2023 Posts 20,704 Reaction score 66,337 Dec 7, 2023 #63 Maghayo said: Utakuta hao wameathirika hawana cha kupoteza. Click to expand... anzisha onlyfans huko wewe jiongeze
Maghayo said: Utakuta hao wameathirika hawana cha kupoteza. Click to expand... anzisha onlyfans huko wewe jiongeze