Lengai ole Sabaya akutwa na ukwasi wa Tsh. Bilioni 3 baada ya kupekuliwa

Wacha tusubiri taarifa rasmi
 
Wataalam tunasema!!

Adui unae muweza usimuachie mungu!!!

Kun faya kun!!!!
 
Kama hizo habari za Sabaya ni kweli, haya uliyoandika hapa yatakuwa na ukweli zaidi.

Mimi ningemwongeza na Sirro na akina Mrotto na kundi lao lote waliokuwa wanapiga kelele kila walipotekeleza waliyotumwa.

Mfumo mzima wa uongozi wa Magufuli ulikuwa ni wa hovyo kabisa.
 
Hilo gazeti limekuwa msemaji wa polisi/takukuru na hata wa bandari mlipayuka hivi hivi, hilo gazeti la kufungia utumbo tu na hawa ndio waandishi Haji Manara anawaita taka taka tu.
Mgambo wanaruka na kukanyaga....
Repeat chorus
 
Tunalishana upepo sana, hizo B 3 kakutwa nazo kama mlivyotulisha upepo Mkurugenzi wa bandari kakutwa na mabilioni baadae ikaonekana Sivyo.
Tume ituletee ripoti wazi kabisa tuisome tumhukumu kijana huyu kwa ubaya wake
 
Ingawa ni kweli Sabaya alikuwa ni mporaji na jambazi lililojificha kwenye uvungu wa kitanda kinachoitwa ccm, ila hii taarifa siimani hata kidogo.

Bilioni 3 zote hizo amezipata wapi ndani ya muda mfupi wa U DC wake hapo Hai?
Billion 3million ni million elfu 3...sio nyingi kwa uporaji aliofanya Moshi na Arusha na ujue matajiri ni wengi sana Arusha na Moshi.
 
Hilo gazeti limekuwa msemaji wa polisi/takukuru na hata wa bandari mlipayuka hivi hivi, hilo gazeti la kufungia utumbo tu na hawa ndio waandishi Haji Manara anawaita taka taka tu.
Sabaya povu linakutoka u tavuna ulichopanda
 
Izi taarifa chadema mmezitengeneza tu...Kama rushwa alikua anaomba milioni 10 ndo amezikusanya mpk zifike billion 3 hapo big NO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…