Lengai Ole Sabaya hawezi kugombea 2024 wala 2025, sababu hii hapa

Hata kama angegombea nani angempitisha,?
labda Bashite awe mwenyekiti wa hicho chama ila syo Mama na Kinana
Hawajui kwamba huyo Sabaya alikuwa anawatesa na kuwadhurumu wafanyabiashara wa kisomali pale Arusha Mjini ambao ni nduguze na Kinana!!
 
Kama sabaya ataendelea na mambo ya siasa basi ni sikio la kufa
 
Sikuiona hiyo Thd kaka/dada.
Hukuiona? Hebu soma paragraph yako ya kwanza kabisa kwenye hii thd yako,

"Nimesoma bandiko la mtu humu ndani akitoa wito kwa mfungwa Ole Sabaya akagombee Ubunge Jimbo la Hai"
 
Nisaidie ufafanuzi kidogo: Amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja, si atamaliza kifungo April 24? Je! November 24 na November 25 atakuwa Bado na kizuizi Cha kugombea?
Nani atampitisha kwanza? Akili unatoa wapi?
 
Hukuiona? Hebu soma paragraph yako ya kwanza kabisa kwenye hii thd yako,

"Nimesoma bandiko la mtu humu ndani akitoa wito kwa mfungwa Ole Sabaya akagombee Ubunge Jimbo la Hai"
Unachanganya madesa. Havihusiani.
 
LABDA AKAGOMBEE URAIS WA YANGA
 
Kugombea sawa, ula uteuzi wowote anaweza kuulamba - sisi tunataka aje mkoa wa DSM kama Mkuu wa Mkoa.
 
Afadhali limekosa sifa.
 

Kuwa mwanasiasa sio lazima ugombee
Wapo wengi nyuma ya pazia na hao ndio wanaofanya mambo yaende
 
hoja siyo kugombea bali nani atamchagua tena huyo muhuni,hata serikali ikimweka kwa nguvu wananchi lazima wamtimue kwa mawe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…