Lengai Ole Sabaya na Wenzake wawili wahukumiwa miaka 30 Jela kwa kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha

Hakuna updates?
 
Upadte.

Sabaya kapigwa Mvua 30 Jela na Bakora 24,
 
Updates

Hakimu Anasema Kati Ya Mashahidi 11 Waliotoa Ushahidi Wao Dhidi Ya Jenerali Sabaya Ni Mashaidi 2 Tu Ambao Ushahidi Wao Haukuwa Na Mashiko
 
Hakimu anasema kati ya Mashihidi 11 waliotoa ushahidi dhidi ya Sabaya ni mashahidi wawili tu, ushahidi wao haukuwa na mashiko
 
Mkuu upo sahihi Ni upuuzi fulani hivi unachezwa na wapuuzi.
 
Hakimu anasema kati ya Mashihidi 11 waliotoa ushahidi dhidi ya Sabaya ni mashahidi wawili tu, ushahidi wao haukuwa na mashiko

Kwani Sabaya akihukumiwa kwa mfano kwenda jela miaka 5, halafu wanaccm mwenzake wakamtorosha gerezani wakamsafirisha kwenda South Africa kuishi huko na baba kegan, kuna shida?
Baba kegan yupo south?!
 
Hii ngoma atahukumiwa tofauti makusudi ili akate rufaa alafu ionekane alionewa hapo ataachiwa!!
Kesi kma hiz zinamihemko mkubwa .. ni kmakesi nyingi za ubakaji watuhumiwa wengi huhukumiwa kutokna na hisia Zaid lkn wengi wakifika mahakma xa juu hutolewa kwa kushinda kesi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…