Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618
Wekeni taarifa sahihi, jf sehemu ya blabla.Updates.... hatimae jambazi sugu ole sabaya amepigwa mvua ya miaka saba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wekeni taarifa sahihi, jf sehemu ya blabla.Updates.... hatimae jambazi sugu ole sabaya amepigwa mvua ya miaka saba
Hakuna updates?Wanajukwaa poleni kwa kumbukumbu ya kifo cha muasisi wa Taifa letu,Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Bila shaka baada ya Hukumu ya Lengai Ole Sabaya kuhairishwa tarehe 1/10/2021 ilipangwa kwamba itatolewa leo. Hivyo tuelekeze masikio yetu katika viunga vya mahakama.
=======
Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya na wenzake wawili leo Ijumaa Oktoba 15, 2021 wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha kusikiliza hukumu ya kesi ya unyang’anyi wa kutumia silaha.
Hakimu mkazi Mfawidhi wa mahakama hiyo, Amalia Mushi aliahirisha hukumu hiyo Oktoba Mosi, 2021 baada ya Hakimu Mkazi Mwandamizi Odira Amworo, kutokamilisha kuandika hukumu hiyo.
Agosti 24 mwaka huu, Sabaya na wenzake Sylvester Nyegu na Daniel Mbura walikamilisha kujitetea mahakamani hapo baada ya Jamhuri kukamilisha mashahidi 11 na vielelezo vinane.
Sabaya alifikishwa mahakamani hapo kwa mara ya kwanza Juni 4, mwaka huu baada ya kukamatwa Mei 27 wilayani Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Chanzo: Mwananchi
Noted,usije kuikana sauti yako.Watu kwa kujifariji hamjambo, hamna kesi hapo, alihifadhiwa kwa usalama wake mwenyewe dhidi ya shambulio la kigaidi…
Upadte.Wanajukwaa poleni kwa kumbukumbu ya kifo cha muasisi wa Taifa letu,Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Bila shaka baada ya Hukumu ya Lengai Ole Sabaya kuhairishwa tarehe 1/10/2021 ilipangwa kwamba itatolewa leo. Hivyo tuelekeze masikio yetu katika viunga vya mahakama.
=======
Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya na wenzake wawili leo Ijumaa Oktoba 15, 2021 wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha kusikiliza hukumu ya kesi ya unyang’anyi wa kutumia silaha.
Hakimu mkazi Mfawidhi wa mahakama hiyo, Amalia Mushi aliahirisha hukumu hiyo Oktoba Mosi, 2021 baada ya Hakimu Mkazi Mwandamizi Odira Amworo, kutokamilisha kuandika hukumu hiyo.
Agosti 24 mwaka huu, Sabaya na wenzake Sylvester Nyegu na Daniel Mbura walikamilisha kujitetea mahakamani hapo baada ya Jamhuri kukamilisha mashahidi 11 na vielelezo vinane.
Sabaya alifikishwa mahakamani hapo kwa mara ya kwanza Juni 4, mwaka huu baada ya kukamatwa Mei 27 wilayani Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Chanzo: Mwananchi
Acha kuzinguaa basii eeehhUpadte.
Sabaya kapigwa Mvua 30 Jela na Bakora 24,
Mkuu upo sahihi Ni upuuzi fulani hivi unachezwa na wapuuzi.Hakuna kesi hapo. Kulikuwa na maigizo tu. Mtu kashikiliwa lakini kila mahudhurio ya mahakamani kapaka super black.
Tutasikia ngonjera za maigizo ya sheria na kuambiwa alipe faini maisha yaendelee. Na msihangae baada ya haya yote akateuliwa nafasi nyingine.
Hakimu anasema kati ya Mashihidi 11 waliotoa ushahidi dhidi ya Sabaya ni mashahidi wawili tu, ushahidi wao haukuwa na mashiko
Baba kegan yupo south?!Kwani Sabaya akihukumiwa kwa mfano kwenda jela miaka 5, halafu wanaccm mwenzake wakamtorosha gerezani wakamsafirisha kwenda South Africa kuishi huko na baba kegan, kuna shida?
Kesi kma hiz zinamihemko mkubwa .. ni kmakesi nyingi za ubakaji watuhumiwa wengi huhukumiwa kutokna na hisia Zaid lkn wengi wakifika mahakma xa juu hutolewa kwa kushinda kesiHii ngoma atahukumiwa tofauti makusudi ili akate rufaa alafu ionekane alionewa hapo ataachiwa!!
Apigwe na viboko hadharani ili viongozi wengine wapate la kujifunza.Kwa hali ilivyo hapa kuna habari mbaya dhidi ya Prince wa zamani wa Hai