Lengai Ole Sabaya na Wenzake wawili wahukumiwa miaka 30 Jela kwa kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha

Silaha hata usipo itumia na imeonekana unategemea nini kwa upande mwingine.
 
.
 
hakimu wa mitandaoni
 
Mtamdhulumu namna hiyo na kumwongezea maumivu ya malipo ya madhambi aliyokutwa nayo kama ikitokea amethibitika kutenda kosa/makosa.

Hapo sasa hivi atulie tuli! Huu ndiyo ule muda wake:



Ama kweli malipo ni hapa hapa duniani!
 
Miaka 30 jela? JPM huko alipo atakuwa anaumia sana vijana wake kutendewa hivi
 
Wale Mataga na Chawa wa ole Sasa hizi wanalia na kusaga meno.
 
tunataka wale wanawake aliowala, zile fedha alizopora na mengineyo ashtakiwe tena, walau ale miaka 60
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…