Hardlife
JF-Expert Member
- Apr 11, 2021
- 2,758
- 6,299
Kweli?Miaka 30 jela na viboko juu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli?Miaka 30 jela na viboko juu
uongo 😥😥😥Breaking News: Sabaya na wenzake wahukumiwa miaka 30
safi sana30 years
uongo 😥😥😥
Silaha hata usipo itumia na imeonekana unategemea nini kwa upande mwingine.Huyu ATAACHIWA tu
Hakimi Hata hivyo, "amesema hakuna silaha iliyotumika katika tukio hilo, hivyo hakuna shambulizi la kutumia silaha."
Means hakufanya unyang'anyi wowote.
Labda akutwe na hatia duka lingine au sehemu nyingine.
J3 ya tarehe 18.10 kesi yake nyingine ya uhujumu uchumi itaanza pia.
Sabaya ATAACHIWA then ataenda kutoa ushahid kesi ya Mbowe.
.Huyu ATAACHIWA tu

hakimu wa mitandaoniHuyu ATAACHIWA tu
Hakimi Hata hivyo, "amesema hakuna silaha iliyotumika katika tukio hilo, hivyo hakuna shambulizi la kutumia silaha."
Means hakufanya unyang'anyi wowote.
Labda akutwe na hatia duka lingine au sehemu nyingine.
J3 ya tarehe 18.10 kesi yake nyingine ya uhujumu uchumi itaanza pia.
Sabaya ATAACHIWA then ataenda kutoa ushahid kesi ya Mbowe.
Mtamdhulumu namna hiyo na kumwongezea maumivu ya malipo ya madhambi aliyokutwa nayo kama ikitokea amethibitika kutenda kosa/makosa.
Ila angekuwa mbowe hapo sijui mngesemajeMvua 30 mamaaaaaee
Mbowe Hana makosaIla angekuwa mbowe hapo sijui mngesemaje
Labda ashinde njaaSabaya ashinde hii kesi, Kila la kheri kwake
tunataka wale wanawake aliowala, zile fedha alizopora na mengineyo ashtakiwe tena, walau ale miaka 60Wanajukwaa poleni kwa kumbukumbu ya kifo cha muasisi wa Taifa letu,Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Bila shaka baada ya Hukumu ya Lengai Ole Sabaya kuhairishwa tarehe 1/10/2021 ilipangwa kwamba itatolewa leo. Hivyo tuelekeze masikio yetu katika viunga vya mahakama.
=======
Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya na wenzake wawili leo Ijumaa Oktoba 15, 2021 wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha kusikiliza hukumu ya kesi ya unyang’anyi wa kutumia silaha.
Hakimu mkazi Mfawidhi wa mahakama hiyo, Amalia Mushi aliahirisha hukumu hiyo Oktoba Mosi, 2021 baada ya Hakimu Mkazi Mwandamizi Odira Amworo, kutokamilisha kuandika hukumu hiyo.
Agosti 24 mwaka huu, Sabaya na wenzake Sylvester Nyegu na Daniel Mbura walikamilisha kujitetea mahakamani hapo baada ya Jamhuri kukamilisha mashahidi 11 na vielelezo vinane.
Sabaya alifikishwa mahakamani hapo kwa mara ya kwanza Juni 4, mwaka huu baada ya kukamatwa Mei 27 wilayani Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Chanzo: Mwananchi
Mbowe afungwe kwa kosa gani bwashee?Ila angekuwa mbowe hapo sijui mngesemaje