Lengai Ole Sabaya na Wenzake wawili wahukumiwa miaka 30 Jela kwa kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha

Ugaidi upi? Ugaidi hewa? Huoni hakimu wa kwanza alijitoa? Hakimu wa sasa kaambiwa mahita kingai waliwafunga pingu saa 24 kila siku huku wakiwapiga kuwalazimisha wakubali ugaidi hewa ugaidi feki
Kiturilo asubiri kesi anayoshadadia aone inavyogeukia Kwa wale wa PGO. Na mwisho nao wale mvua za kuwatosha.
 
Kajitetea kama mtoto wa std 5[emoji16][emoji16],yani meko ndio alimtuma akawe jambazi...bado kesi ya mroso na ingine moja nayo imekaa vibaya...akimaliza hizo kilimanjaro ziko za kutosha na manyara 2
 
Unagopa viboko mkuu?
Maumivu ya kushikiwa bunduki ni makali mno kuliko ya viboko.

Bunduki unapata psychological torture unahisi kifo chako kimewadia sekunde yeyote.
Hii ndio maana ya malipo hapa hapa duniani.
 
Sijapenda hukumu hii maana wasiwe wanajenga ngao ya kumfunga Mbowe na baadaye wam- pardon Sabaya na kumsamehe na kumpa cheo!

Kesi inakoelemea si kunaonekana mkuu.

Kesi ya Mbowe inafuatiliwa. Kwamba Jaji kapandishwa cheo akielekea kutoa hukumu ya pingamizi 19/10, nani asiyejua?

Kwamba mawaidha ya Jaji mkuu kwa majaji ni kutoa hukumu zenye kuzingatia mwelekeo wa serikali, nani hakusikia?

Nani alisema nini mahakamani nini kisichojulikana?

Patiently yetu ni subira. 19/10 kwani ni mbali?

Kwani kimya kingi kiliacha kuwa na mshindo mkuu?
 
dah huo utetezi umetoka kweli kwa Sabaya au ni story tu za vijiweni?... kama kweli ametoa utetezi huo basi naweza sema jamaa ni full kilaza aisee na kumbe nje ya mamlaka hana ujanja wowote....fuckin kabisa aisee..

Unapewa nafasi ya kujitetea unaongea upuuzi huo aisee, Elimu yetu inahitaji complete overhaul aisee huyu ni kijana msomi na alikuwa kiongozi mkubwa ngazi ya wilaya aisee anaongea ujinga kama huu kama utetezi wake..bora angekaa kimya tu aiseee..
 
Kiturilo asubiri kesi anayoshadadia aone inavyogeukia Kwa wale wa PGO. Na mwisho nao wale mvua za kuwatosha.
Mbowe hafungwi hakuna ugaidi wowote kafanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…