Miaka 30 jela
LeoLifungwe maisha
JMT wizi kwa kutumia silaha ni 30 year Bwashee najua utamiss sana.Kwa sheria gani bwashee?!
Kwa kisa gani? Jamaa aachiwe tu tena bila mashartiAnyongwe😂😂
Sabaya atashinda, Sabaya akifungwa na Mbowe amefungwa maana Sabaya ni mbuzi wa kafaraWanajukwaa poleni kwa kumbukumbu ya kifo cha muasisi wa Taifa letu,Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Bila shaka baada ya Hukumu ya Lengai Ole Sabaya kuhairishwa tarehe 1/10/2021 ilipangwa kwamba itatolewa leo. Hivyo tuelekeze masikio yetu katika viunga vya mahakama.
Lengo ni kumfunga MboweAtapata si chini ya kifungo cha miaka mi 3 mpaka mi 5 au kulipa faini.
Atalipa faini ambayo haitazidi hata milion 6 then ataachiwa.. kuzuga atakamatwa tena kwa ajili ya mashtaka mapya.
hii case ni ya mkakati.
ni heri ufuatilie ugali wako..
Hukumu yake naifahamu.
Bado anakesi nyingine hivyo hawezi kuachiwa huru, japo hii kesi atatoboa mapema sn.Hakuna kesi hapo. Kulikuwa na maigizo tu. Mtu kashikiliwa lakini kila mahudhurio ya mahakamani kapata super black.
Tutasikia ngonjera za maigizo ya sheria na kuambiwa alipe faini maisha yaendelee. Na msihangae baada ya haya yote akateuliwa nafasi nyingine.
Hakuna kesi pale.JMT wizi kwa kutumia silaha ni 30 year Bwashee najua utamiss sana.
Hakuna kesi pale.
Sabaya alipaswa kushtakiwa kwa kosa la matumizi mabaya ya madaraka na wenzake wangekuwa ndio mashahidi.
Ataachiwa huru mchana kweupe!
Bwashee wewe subiri hukumu uone!Sawa msaidizi wa Jaji Mkuu.
Hilo litakuwa ajabu lingine la dunia!!kwani leo ndio uamuzi wa kuwa ana kesi au hana?au umekurupuka mkuu?Watu kwa kujifariji hamjambo, hamna kesi hapo, alihifadhiwa kwa usalama wake mwenyewe dhidi ya shambulio la kigaidi…
zote zitapindishwa pindishwa tu.Bado anakesi nyingine hivyo hawezi kuachiwa huru, japo hii kesi atatoboa mapema sn.
Pimbi wewe mbowe anakuhusu nini hilo liarusha lazima lifungwe limetesa watu sana mshamba wa madarakaSabaya atashinda, Sabaya akifungwa na Mbowe amefungwa maana Sabaya ni mbuzi wa kafara