Naipendatz
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 5,096
- 8,234
UkatiliInategemea alikuwa anaongelea nini kuwahusu.
Sabaya mbowe hakuteswa jela? Walinzi wa Sabaya walikaa na pingu saa 24 kila siku kama walinzi wa mbowe?Si usubiri, kesi yenyewe Bado hata haijaanza, mbona unaconclude mapema?
Mtajua tuu subiriniAfungwe kwa kosa lipi? Kwani uliambiwa mbowe ana kosa lolote?
Laana ya marehemu Ruge imemtafuna baada ya kumbaka Nandi..CCM inajivunia kuwa na rasilimali watu.
..sasa imeshindwa vipi kumtafutia ahueni kada wake?
..Sabaya sio mtu wa kupewa hukumu mbaya-mbaya utadhani ni mpinzani nchi hii.
..CCM imetumia Sabaya na kumtupa kama kondom.
Yeremia 17: 5-6..waliomtumia na kumtuma Sabaya walaaniwe.
Watu inabidi wajiandae kisaikolojia maana yajayo hayafurahishi .....wote mnaofurahia msiombe siku moja ukaenda mahakamani na ujua kabisa ukweli huna kosa ila ukaenda na maji ...
duniani hakuna mahakama ni upumbavu mtupu hakuna cha mahakama wala nini ni ujinga + ujinga ...
sibirini ya Mbowe ndio mtajua hamjui
Bc kumbe kule mahakamani anaenda kufanya shoppingAfungwe kwa kosa lipi? Kwani uliambiwa mbowe ana kosa lolote?
Kwa kweliInaonekana Sabaya alimuonyesha dharau mama , maana Makonda yupo tu anadunda
Huna akiliKesi ya Mbowe inafutwa. Copy ya hukumu tayari ninayo.
😳😳🤭Nachukua nafasi hii mimi binafsi kuipa pole sana familia ya Ole Sabaya kwa
Anaenda kwa kesi ya kubambikiwa ni kesi ambayo wewe na mashetani wenzako mmembambikia lakini haifanani na ya Sabaya na mungu atatenda muujiza ushetani wenu utashindwaBc kumbe kule mahakamani anaenda kufanya shopping